Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Hii ni itifaki ya kawaida sana hasa pale kunapokuwa na wageni wengi..wala haikuwa na haja ya kufungulia Uzi hapa..ungeuliza kwanza
Hakuna cha itifaki wala nini..

Tumeshuhudia hata uapisho wa Ruto juzi hapo hawa akina samia na wenzie walirundikana uwanjani na mamisafara ya kufa mtu.

Ukweli ni kwamba marais wa Africa wakiwa ughaibuni wanachukuliwa kama watu duni wasio na hadhi ya urais.
 
Tusiongee kwa jazba kiukweli jpm asingeenda kwenye huo msiba, weka pembeni hizi habari za mabasi, yeye angemtuma balozi au au makamu wake au waziri mkuu au waziri wa mambo ya nje.
huu ndo ukweli.

Rip jlm wetu.
Tatizo lugha, London like Kingereza chake cha kuungaunga angeongea na nani?

Pili ile betri aliyowekewa kwenye moyo hawezi kukaa angani Massa mengi.
 
Tusiongee kwa jazba kiukweli jpm asingeenda kwenye huo msiba, weka pembeni hizi habari za mabasi, yeye angemtuma balozi au au makamu wake au waziri mkuu au waziri wa mambo ya nje.
huu ndo ukweli.

Rip jlm wetu.
... kiburi cha mjinga hicho! Diplomasia haiko hivyo.
 
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Mlituambia atakuwa mgeni maalumu huku hata BBC hawana habari, hata hivyo viongozi wote walipanda mabasi, acheni ulalamishi wa kijinga.
 
Sasa ni haters kivipi? Kuna hoja ya msingi hapa. Tunapoteza rasilimali nyingi kwa magari ya kifahali na kuwekana kwenye foleni kuwasubiri wapite wakati kumbe inawezekana kabisa kwao kufanya kazi kwa ufanisi kwa gharama nafuu.
Inawezekana Tz wabunge,mawaziri,wakurungenzi,wakuu wa Mikoa, wilaya n.k kwenda maofisin kwao ,au bungeni KWa kutumia baiskeli,

Tunalazimisha utukufu wakati maisha yetu Duniani ni mafupi,

Inawezekana Rais, Makam ,waziri mkuu kuwa na msafara usiozidi magari matatu, mbona rais wa Zambia anaweza,

Yani msafara wa Rais hapa bongo unakua na magari mpaka mia, hujaweka pm, vice pres,
 
Kupanda basi ndiyo utaratibu uliopangwa na wenye msiba. Nawashangaa watu wakilalamika. Kwani hayo hajawahi kutokea Tanzania. Muwe na kumbukumbu. Viongozi waliokuja kwenye shughuli Fulani wakati wa utawala wa kikwete walipandishwa coaster Moja kwenda uwanja wa taifa na kurudi
 
Kamwambie aende tuone kama atakubali au atakataa
 
Marais na mawaziri wakuu 6 tu ndio watakuwa na convoy zao ambao ni America, Israel, Canada, France, German na Japan.
Wengine wote ni mabasi![emoji56]
Hao wengine wa mabasi waache kiherehere cha kuzamia misiba isiyo wahusu..na kisebusebu cha kuita wazungu "wenzetu"...we are always niggers in their eyes half men even worse animals in the zoo
 
Back
Top Bottom