Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Ubaguzi hautaisha hapa Duniani. Mabasi ya marais weusi peke yao!

Hayati Magufuli angemtuma balozi tu amuwakilishe.
Screenshot_20220919-124110.jpg
 
Tusiongee kwa jazba kiukweli jpm asingeenda kwenye huo msiba, weka pembeni hizi habari za mabasi, yeye angemtuma balozi au au makamu wake au waziri mkuu au waziri wa mambo ya nje.
huu ndo ukweli.

Rip jlm wetu.
 
Ubaguzi hautaisha hapa Duniani. Mabasi ya marais weusi peke yao!

Hayati Magufuli angemtuma balozi tu amuwakilishe.
View attachment 2361528
Hao ni Marais kutoka nchi masikini! Wamestahili kabisa kuwekwa kwenye basi moja, ili wakirudi nchini kwao akili ziwakae sawa. Walishindwa nini kuwakilishwa na Mabalozi wa nchi zao? Au wanataka kutuamisha wameguswa sana na huo msiba!! Au ni ukosefu tu wa kazi za kufanya!

Wakiwa huku wanafanya mambo mengi ya anasa, huku wakiwa na uchumi dhaifu! Wanawabebesha wananchi wao masikini mizigo mizito ya kodi na tozo, ili waishi maisha ya kifahari!

Imagine misafara yao huhusisha zaidi ya magari 60 aina ya Toyota V8!! Ulinzi wa kutisha! Huku wakiwa hawana sababu za msingi, zaidi tu ya mbwembwe!!

Nimefurahia sana hayo mapokezi yao.
Kwanza ukiwauliza kilichowapeleka huko, hawawezi kuwa na majibu. Mtu kama William Ruto ana wiki tu tangau aapishwe! Tayari amesafiri kwenda kumzika Malkia!! Anajitambua kweli huyu!!
 
Back
Top Bottom