Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gtfo I can’t waste my time anymore with psycho like you b€££^*#@$$$
Rais wa Ufaransa alipandishwa kwenye nini?Sasa mlitaka apandishwe kwenye Nini?
Na royals wa Saudi etc nao kwenye BusNi Viongozi wote wa Duniani isipokuwa Biden na PM wa Israel tu
View attachment 2361399
Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha [emoji1].
View attachment 2361396
Huyo ni the most wanted. Inawezekana kabisa alikuwa amejificha shimoni.Mkuu ndio umetoka jela recently nini?