Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Halafu wamekaa mwisho mwisho hivi hawakutapika kweli? Maana haya magari mmh..!
 
Ona Hii ng’ombe Macron na Viongozi wote wa G7 hawajapanda bus
Unamjua Macron kwa sura?
Mke wake?
Kwny hii picha hao waliosimama ni akina nani?
BE039EB9-3436-48BC-819A-3E5C846A4BBE.jpeg
 
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.

View attachment 2361396
Wewe hofu yako ni nini? Kwanza walitakiwa watembee kwa miguu....Si ndiyo kuomboleza huko? Acheni mambo ya dunia ya tatu.
 
Kwani kuna mtu aliwatuma? ukifika kwa watu lazima ufuate masharti na jinsi wanavyotaka wao ufalme uchwara na utukufu ni Africa tu ambako hata masikini wakifa wenye nacho huona kawaida tu ilhali wanauwezo wa kuwasaidia
 
Hawa wanakuwaga na thaman wakiwa Africa uwaga kama miungu, lakin wakiwa nje kwa wazungu uko ni watu wa kawaida tu ata bodaboda anapandishwa.
 
Back
Top Bottom