Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Wewe ndio ulioishiwa bwege wee,,,yan kwa akili yako yakitumwa unaona sawa kwa raisi wa Africa kuwa Kwenye bus kwasababu kuna ngozi nyeupe nayo imepanda bus!
Matusi ya nini?

Tungeendelea kujadili ila tutajadili nini mtu hata Macron wala Bolsonaro hujui ni akina nani na wanafanaje😅
Ht ukitumiwa picha u cant comprehend
Plus u cant see huo ndo ulikuwa utaratibu wa wenye msiba
 
Jumla ya Heads of states duniani ni 195 na wapo ambao wamepuuza mwaliko, hao 500 ni kutoka hadi Jupiter? Jamaa ana fix kama wazee wa tozo
Kuna heads of state waliokuja na spouses
Kuna royal families with spouses ama third wheel
Kuna wakuu wa Taasisi
Viongozi wa Dini
Waigizaji,wasanii,wanasiasa wa UK nk
 
Matusi ya nini?

Tungeendelea kujadili ila tutajadili nini mtu hata Macron wala Bolsonaro hujui ni akina nani na wanafanaje[emoji28]
Ht ukitumiwa picha u cant comprehend
Plus u cant see huo ndo ulikuwa utaratibu wa wenye msiba

Hahahah,,,Hoja yako ni if Macron arrived in a bus, we should too,,,So Europeans set the standard for Us right?,,Tunatakiwa tuwageze to seek validation from them ? and yeah siwajui ukiwajua wewe inatosha Psycho!!!
 
Wapi unasoma chuki?

Wapi unasoma nimepost kila jambo?

Uliyejaa chuki zisizo na mpango labda wewe.
Kipi kimekushangaza kupanda basi kuelekea msibani ajabu yake ni nini ni usafiri wa pamoja kuelekea penye shughuli nzima ya maziko ulihitaji kila kiongozi apelekwe kutumia usafiri gani ndio ungeridhika Mercedes bmw tufahamishe ili tuone kweli sio chuki
 
Wapi unaponisoma kujiaminisha kizezeta zezeta kuwa nimeshangaa?
 
Hahahah,,,Hoja yako ni if Macron arrived in a bus, we should too,,,So Europeans set the standard for Us right?,,Tunatakiwa tuwageze to seek validation from them ? and yeah siwajui ukiwajua wewe inatosha Psycho!!!
U can argue with my ancestors😅
Wazungu washamzika mtu wao and yeahh utaratibu wao ulikua hivyo wewe ni nani kuwapangia?
Ka'set standards kwako siku ukiupata huo urais(if at all kuna mtu atakupa😅)
 
U can argue with my ancestors[emoji28]
Wazungu washamzika mtu wao and yeahh utaratibu wao ulikua hivyo wewe ni nani kuwapangia?
Ka'set standards kwako siku ukiupata huo urais(if at all kuna mtu atakupa[emoji28])

I can’t waste my time anymore with you.
 
Sio sawa kukosoa jambo lililo fanyika kwa sababu za kiusalama zaidi.
 
Namuona china, iran, putin nao ndani ya bus
 
Attachments

  • Screenshot_20220921_054024.jpg
    Screenshot_20220921_054024.jpg
    56.9 KB · Views: 8
Back
Top Bottom