mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kwakweli binafs sijaona shida maana msiba huo ulihudhuriwa na watu zaidi zaid milioni moja, so kama kila mmoja angetembea kwa usafiri wake mbona ingekuwa taabu sana! Huo ni utaratibu tu wa kawaida kabisa tena si kwa Rais Samia wa Tz hata marais wengine wanaonekana hata pichani!
Nimegundua kuwa kumbe wabongo huwa wanafurahia viongozi wao wakiishi maisha ya anasa ! Ndio maana wamechukia kuona kiongozi wao amepanda Luxury Bus pamoja na viongozi wenzake !!