Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Anajua fika amepuyanga! Maana akiwa Bongo anatusumbua kweli na ile misafara yake iliyojaa magari lukuki ya kifahari..
Kwa Kweli yale magari wanayotumia kuna wengine wanaona ni sawa na IST hawajui gharama zake hizo wanazo Tumia kila kiongozi , utakuta kiongozi anaishi mjini hakuna hata sehemu ya kumfanya akwame na gari lakini anatumia v8 Mbona kuna magari mengine mengi tuu ambayo siyo v8 na ni gharama ya kawaida tuu hawayataki kuyatumia? Yaani hapo ingekuwa kuna v8 ya billion 2 Basi wangeyatumia tuu , alafu gharama za tozo ndiyo zinazokuja kuyaendesha hayo magari Kwa gharama ambazo ni rahisi kuzikwepa
 
Tusiongee kwa jazba kiukweli jpm asingeenda kwenye huo msiba, weka pembeni hizi habari za mabasi, yeye angemtuma balozi au au makamu wake au waziri mkuu au waziri wa mambo ya nje.
huu ndo ukweli.

Rip jlm wetu.
Mfuate huko alipo
 
Hao wengine wa mabasi waache kiherehere cha kuzamia misiba isiyo wahusu..na kisebusebu cha kuita wazungu "wenzetu"...we are always niggers in their eyes half men even worse animals in the zoo

Nao huo ndiyo ukweli ambao hatutaki kuubali, kuna baadhi ya Waafrika hujiona wao ni special na Mzungu akisema nigga anamaanisha Waafrika wengine na siyo yeye, kumbe hajui kwa Mzungu hata ujipendekeze vipi, wewe ni nigga tu na haoni tofauti!
 
so mnataka mumfananishe rais wa marekani na hawa wa kwetu, acheni cheap politics wakuu.
 
Kupanda basi ndiyo utaratibu uliopangwa na wenye msiba. Nawashangaa watu wakilalamika. Kwani hayo hajawahi kutokea Tanzania. Muwe na kumbukumbu. Viongozi waliokuja kwenye shughuli Fulani wakati wa utawala wa kikwete walipandishwa coaster Moja kwenda uwanja wa taifa na kurudi
Walitaka wapandishwe helicopters mkuu
 
Kupanda basi ndiyo utaratibu uliopangwa na wenye msiba. Nawashangaa watu wakilalamika. Kwani hayo hajawahi kutokea Tanzania. Muwe na kumbukumbu. Viongozi waliokuja kwenye shughuli Fulani wakati wa utawala wa kikwete walipandishwa coaster Moja kwenda uwanja wa taifa na kurudi
 
Back
Top Bottom