Donkey
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 1,499
- 1,584
Kupanda basi ndiyo utaratibu uliopangwa na wenye msiba. Nawashangaa watu wakilalamika. Kwani hayo hajawahi kutokea Tanzania. Muwe na kumbukumbu. Viongozi waliokuja kwenye shughuli Fulani wakati wa utawala wa kikwete walipandishwa coaster Moja kwenda uwanja wa taifa na kurudi