Sioni tatizo lolote hapo kwa Rais au Marais pale tu wakiwa Wengi katika Tukio Moja Kubwa na Muhimu Kupandishwa Basi Moja.
Hii hata hapa Kwetu Tanzania ilishafanyika katika awamu ya Rais Mstaafu Kikwete na hata pia katika Awamu ya Hayati Rais Dkt. Magufuli.
Na hili linafanyika Kiusalama zaidi kwani katika Mkusanyiko mkubwa wa Marais kama uliopo huko Msibani Ulinzi wa Viongozi ( VIP's ) huwa ni rahisi kama Wote wakiwa pamoja kuliko kila Rais Akilindwa kivyake na Itifaki yake kwani kuna Uwezekano mkubwa ikasababisha Usumbufu fulani utakaopelekaççv hata kupoteza muda na kuharibu Ratiba ya Tukio zima.