Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,428
- 3,937
Sasa ni haters kivipi? Kuna hoja ya msingi hapa. Tunapoteza rasilimali nyingi kwa magari ya kifahali na kuwekana kwenye foleni kuwasubiri wapite wakati kumbe inawezekana kabisa kwao kufanya kazi kwa ufanisi kwa gharama nafuu.Usihangaike mkuu, haters wameishiwa hoja kwahiyo sasa ni mwendo wa kuokoteza kila wanachokihisi......la kuchekesha ni kuwa kadiri wanavyoonyesha chuki zao ndivyo wanavyozidi kuonekana hamnazo mno! Sikutegemea km hawa haters ni wapuuzi hv aisee!!!!!