Kwani wana muaga amekufa?..watolee ufafanuzi kwanini Rsisi akisafiri huagwa na kupokewa uwanja wa ndege na utitiri wa viongozi wanaoendeshwa kwenye ma-V8.
.. Kwanini viongozi hao wasipande basi maalum kwenda kumuaga au kumpokea Raisi uwanja wa ndege?
Kazana baba yasiwe ni maneno tu kumbuka bado tunatawaliwa sijui huyo mtoto wako utamfundishaje labda ujenge shule yako na mitaala isiwe hii tuliyonayo hapo utafanikiwa.Mambo gani ya kudharauliana kama wewe ni mkubwa na unakosa hekima ya kujua lipi huyo mtoto anatakiwa kulijua basi bora hao watoto kuliko wewe usiyeweza kuwapa matumaini future generation...Watoto wetu hawawezi kukulia hizi dharau, no never!
Wakwangu nitamfundisha kutokubali heshima za kinafiki kama hizi
Usikute hata chakula cha msibani wamewekewe kwenye masinia mkao wa wanne wanne. [emoji1787][emoji1787]Lete picha ya Rais wa ufaransa au waziri mkuu wa Canada au viongozi wa G7 waliopanda yutong Acha kutetea haya madharau.usitete ukoloni mamboleo.usiwe kipingamizi wa afrika mpya.
Una uhakika wapo heads of states 500?Viongozi wako mia 5 kila mtu angepanda gari yake ungetegemea nini ! Mtoa post k.Ma y.ko
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Usikute hata chakula cha msibani wamewekewe kwenye masinia mkao wa wanne wanne. [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti wamepandishwa Nini?
[emoji28][emoji28][emoji28]
Ni mkuu wa nchi...Kwa biden kuwa na usafiri maalumu inaeleweka, kwa waziri mkuu kwa israel ni kwaajili ya nini anaejua anisaidie
Loo!.Naona kila mmoja anaona haya.Siku nyengine wakilikwa kwenye mambo kama haya watajiuliza.Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha π.
View attachment 2361396
kwani Rais Samia Suluhu amepanda basi peke yake acheni maneo maneno mama katuwakilisha vyema na anaimarisha Diplomasia TanzaniaAibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha π.
View attachment 2361396
Inaonekana wewe na mwenyekiti wa EFF ya South Africa Hon Julius Malema mko na same school of thought kuhusu ubeberuHawa ndiyo wanaouchelewesha uhuru wa Africa...Saa hizi Urusi inatupa nafasi hawa wa hivi ndiyo ukute washauri wa viongozi wetu ambao walitakiwa kukasirika na kufanya kweli kwakua Mungu mwenyewe katupa nafasi ya kuona chuki ya wazi ya hawa nyakati hizi Rusia inapopambana kubadili mfumo wa dunia
Wewe ndiyo usiyekuwa na ufahamu kuhusu kitu kinaitwa "Power Relations" kwenye nyanja mbalimbali na hasa linapokuja kati ya taifa na taifa na athari zake.Hili jambo wala halihitaji ufafanuzi, wengi wanaolishupalia exposure hakuna.
Viongozi wa nchi zengine mf. China, France, Germany, Brazil, etc. wamepanda mabasi na wala haijawa issue kabisa, ila bongo imekuwa big topic.
Tukiendelea na hizi mentality, hawa mafisi wa kijani watatutawala mapaka Yesu au mtume arudi
Na mfalme wa Dubai ! Pia Macron huwezi kumpandisha kwenye BusNi Viongozi wote wa Duniani isipokuwa Biden na PM wa Israel tu
View attachment 2361399
Kwan Ruto ni nani??Mbna na ruto namuona humo kwenye bajaji ya wazungu
πππ€£π ππππππππKule ni muombolezaji kama waombolezaji wengine..huku ni mlamba asali mkuu jua kutofautisha hilo.
#MaendeleoHayanaChama
Jiheshimu na uache uongo Frace, Germany,Japan,Canada,na USA hawajapanda basiHili jambo wala halihitaji ufafanuzi, wengi wanaolishupalia exposure hakuna.
Viongozi wa nchi zengine mf. China, France, Germany, Brazil, etc. wamepanda mabasi na wala haijawa issue kabisa, ila bongo imekuwa big topic.
Tukiendelea na hizi mentality, hawa mafisi wa kijani watatutawala mapaka Yesu au mtume arudi
Hamnaga argument based on hearsay & conspiracy mkuu. Argument inajengwa na facts.Wewe ndiyo usiyekuwa na ufahamu kuhusu kitu kinaitwa "Power Relations" kwenye nyanja mbalimbali na hasa linapokuja kati ya taifa na taifa na athari zake.
Kuna siku Obama alienda Saudi Arabia halafu akajiinamisha chini ya mfalme wa Saudia, wamarekani waling'aka hapana mfano.
Kuna stori (sijui kama ni kweli maana sikuwepo) kwamba Malkia wa Uingereza alimsalimia Nyerere huku mikono yake kavaa gloves, Nyerere kuona hivyo naye akareciprocate kwa kumgea kifimbo chake.
Hizi folklore zote zinatengeneza jambo moja la msingi: kutawaliwa kimwili na kiuchumi kunaanza kwa mtu kutawaliwa akili na roho. Msipende kuchukulia vitu poa kudunishwa kwa Rais wa nchi. Ripple effect yake kwa watu wa taifa analoliwakilisha ina nguvu sana.
Kwangu binafsi Rais Samia haniwakilishi mimi huko alikokwenda sijui kuhudhuria msiba wa nani vile. Hilo basi alilopandishwa kapandishwa yeye kama Samia na wala hawajapandishwa watu wa taifa analoliongoza. Watanzania tuna legacy ya taifa kubwa lililowahi kuongozwa na Nyerere na Magufuli na hatuna uduni uduni wa dizaini hizo. Tunaweza kuwa hatuna uchumi mkubwa wa vitu lakini tuna hazina kubwa ya akili na ufahamu na hatukubali uduni wa akili wa wanasiasa walioangukiwa na bahati nasibu ya kutuongoza.
Watu mna kiherehere shida iko wapi, marais wengi tu wamepanda bus maalum, isipokuwa Biden na PM wa Israel, aibu ni ipi hapo?