Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hii kimbinyiko ya maraisi wa Afrika. Wazungu kwa ubaguzi bwana !.Kule Makka hakuna hiyo.Hakuna anayepewa hadhi ya uraisi lakini hakuna anayebaguliwa usafiri.Kapandishwa Kimbinyiko ya London,namuona mr.hustler anatabasamu pana sana.