Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Kapandishwa Kimbinyiko ya London,namuona mr.hustler anatabasamu pana sana.
Hii kimbinyiko ya maraisi wa Afrika. Wazungu kwa ubaguzi bwana !.Kule Makka hakuna hiyo.Hakuna anayepewa hadhi ya uraisi lakini hakuna anayebaguliwa usafiri.
 

Attachments

  • FE4AB659-2BBE-4001-B3BF-647481EF64E5.jpeg
    FE4AB659-2BBE-4001-B3BF-647481EF64E5.jpeg
    13.7 KB · Views: 3
kwani Rais Samia Suluhu amepanda basi peke yake acheni maneo maneno mama katuwakilisha vyema na anaimarisha Diplomasia Tanzania
Kwani maraisi wote ni wangapi waliokwenda mazikoni.Kwani hakuna hata gari ya ubalozi wetu
akapanda gari yake.
 
Wakati watu kama akina magufuli wanapambana kutahiri fikra zetu,mbuzi kadhaa wakawa wanambeza,mbaya zaidi wengine wanatunzwa na hawa hawa wanaotudharau.

Anyaway as long as wote wamewekwa ktk bus,nadhani watakuwa wametumia wasaa huo kutafakari kwa pamoja juu ya namna wanavyochukuliwa na hao watu.
Magari yote ya Biden alikuja nayo je wa kwenu waliendanayo?, Kumbuka Rais wa marekan yeye uenda na ndege 2 moja ya mizigo na hiyo ya kumpeleka.
 
Ebu geuza wazo, mfano bomu linalipuka hapo, what a loss kwa nchi ambazo viongozi wao wamo humo?
Yaani nikusema maiti ya huyo mama inathamani kuliko watu wa hizo nchi kadhaa ambazo zimewekwa kama nyanya kwenye gari moja bila kujali risks zinazoambatana na hiyo decision, what a dharau kwa dunia hawa binadamu wameonyesha, no wonder walikuwa ready kuua ili wajitajirishe...Shame shame shame shame upon their faces!
Mkuu ukiangalia usalama wa taifa hili wameamua iwe hivyo na ukiangalia jinsi walivyo jipanga wameweka kila aina ya ulinzi tunavyoona na tusivyoviona
Jana nilipita London wamemwagwa wanajeshi yaani ni wengi kuliko police na usalama usiseme kila ukipita lazima gari isomwe namba kwa mitambo yao
Nilifuatwa na Gari ya police dakika kadhaa wakaona huyu hana kitu

Wamezingatia kila kitu kuwalinda watu wote na usalama pia labda litokee tu

Kuhusu waliopanda mabasi ni wengi sana hata Rais wa Germany na Rais wa Italy na Wafalme wote wamepanda Bus
Ila wa Qatar sijui ukiherehere kasimamishwa dakika 20

Mama na wengine wako salama kabisa na wana enjoy selfie haha

Hii operation haijawahi kufanyika hapa maisha
Screenshot_20220919-160155_Chrome.jpg
Screenshot_20220919-160348_Chrome.jpg
 
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha [emoji1].

View attachment 2361396

Lakini tunajinyanyasa wenyewe kwa thinking yetu.
Carl Max kaandike sana machapisho yake ya kijamaa mwishowe akahitimisha “CLASSES ARE INEVITABLE” sasa km hivyo ndivyo mnaumia nn.
 
Tunaweza kuokoa gharama kubwa ya usafiri wa viongozi wetu na tukaepukana na hizo tuzo ambazo zinazalishwa kila siku.

Mfano Rais Samia akiwa Dar ana anatakiwa kwenda Dodoma.Asubuhi anawahi stand anapanda Kimbinyiko na maafisa wake wote.

Waziri Mkuu anaweza kupanda Dar Express from Dar to Arusha hizi tozo tusingezisikia hata kidogo.
Akija tumlazimishe wanunue mabasi
 
Wee uta


Wee nitakupiga utapike damu nyeusi, pumbaf black mind, nasty, shenzi wee, hujatiwa adabu, stupid, i will screw you up, nyokQ, nitakupiga ukojoe, huna adabu ww, unaweza mwambia hadi Mh. Rais maneno hayo, ww hujapigwa muda, nitakupiga ukisimama na kuongea una bahati, pumbaf

Bwahaaa bwahaaa, nimecheka kwa nguvu kinoma, sio kwa povu hili. Viongozi wanaoingia madarakani kwa wizi wa kura wana heshima gani? Mkitaka wapewe hiyo heshima waingie madarakani kwa kuheshimu box la kura. Kinyume na hapo wategemee dhihaka tu.
 
Hili jambo wala halihitaji ufafanuzi, wengi wanaolishupalia exposure hakuna.

Viongozi wa nchi zengine mf. China, France, Germany, Brazil, etc. wamepanda mabasi na wala haijawa issue kabisa, ila bongo imekuwa big topic.

Tukiendelea na hizi mentality, hawa mafisi wa kijani watatutawala mapaka Yesu au mtume arudi
Na hapo nimesahau kukwambia kwamba usitake kuchukua mifano ya sijui Germany, Brazil, au China ukaibeba kama ilivyo na kuipaste kwa Tanzania. Kila nchi ina historia yake, namna zake na jinsi ambavyo tukio flani lina athari ipi kwa watu wa nchi hizo.

Na hapo ninabet my two cents (japo sijafuatilia mambo ya kifo cha malkia wa uingereza) kwamba Xi Jinping au Putin hawezi kupandishwa basi moja na marais wengine. Viongozi wengi tu wanaojitambua hawawezi kukusanywa kama mahindi na kuwekwa kwenye gunia moja.
 
Sasa kama Rais ndani ya basi je wale wapambe si wamebakia hotelini, protokali zote kwishnei...

Kweli Tanzania nchi ndogo sana, maana ningefarijika kama marais wa Ufaransa, Ujerumani US, Canada nao ningewaonamo humo.
Kwahiyo walisubiriana uwanja wa ndege au??
 
Back
Top Bottom