Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Mc wa msiba alichanganya mafaili usafiri wa basi lilikuwa la wana kwaya wa Edinburg ila Mc ameomba radhi kwa kile kichotokea[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yaani rais wa Marekani ndio karuhusiwa kuingia Buckingham na msafara wake, marais wengine toka nchi nyingine duniani wamepakiwa kwenye mabasi, yani hawajapewa hadhi ya urais kabisa, hizo si dharau jamani, hlf pia ni security threat kwa hao marais.

Wao wakija huku, tunasafisha hadi barabara
 
 
Habari bila picha/video clip sawa na takataka tu.
Mbona wahuska hawana shida.kwani wangepanda magari binafsi angefufuka?
 
Nchi Ina amani hilo lisi kushangaze huko ni jambo la kawaida kumuona kiongozi wa juu akiendesha baiskeli mtaani bila walinzi na kujichanganya na Raia Ndiyo maana huoni wanajeshi wamebeba bunduki kama kwenye msiba wa jiwe na kusukuma watu ovyo
Africa udikteta wa Viongozi na Rushwa ndizo zinafanya Viongozi waishi Kwa hofu
 
Na hapo nimesahau kukwambia kwamba usitake kuchukua mifano ya sijui Germany, Brazil, au China ukaibeba kama ilivyo na kuipaste kwa Tanzania. Kila nchi ina historia yake, namna zake na jinsi ambavyo tukio flani lina athari ipi kwa watu wa nchi hizo.

Na hapo ninabet my two cents (japo sijafuatilia mambo ya kifo cha malkia wa uingereza) kwamba Xi Jinping au Putin hawezi kupandishwa basi moja na marais wengine. Viongozi wengi tu wanaojitambua hawawezi kukusanywa kama mahindi na kuwekwa kwenye gunia moja.

..Viongozi wa Afrika walistahili kupandishwa kwenye lori la FUSO.
 
Kazana baba yasiwe ni maneno tu kumbuka bado tunatawaliwa sijui huyo mtoto wako utamfundishaje labda ujenge shule yako na mitaala isiwe hii tuliyonayo hapo utafanikiwa.
Atakuwa Rais kisha atarekebisha, kama mimi sintofanikiwa kuwa na kuleta mageuzi...Nimemwandaa tangu anazaliwa. Ole wao!
 
Kule ni ugenini kwa watu lazima ufuate taratibu zao,misafara iwekeni mkiwa kwenu.
 
Pumbaf kweli, hiyo Bus mpaka kufa kwako hutakaa upande kwenda kumzika malkia wala mfalme London.
Na bora sintoipanda, sitamani hata kuigusa siyo kupanda....Unabahati matusi hayapo kwenye dictionary ya moyo wangu!😂

Ondoa hizo stress kwanza akili itakukaa vizuri, badala ya kugombana na akili yako ya kitumwa unanitusi mie usiyetegemea hata kuniona, what a mind!
 
Back
Top Bottom