Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Uozo mtupu, nchi imerudi kwenye zama za kubembea Jamaica.Tuwe wazalendo na nchi yetu, maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko sarakasi za kutafuta madaraka 2025 na 2030, wizara ya nishati imepwaya mno.
Yale magenge ya wafanyabishara yamerudi, yana dictate business of the day, na yule kijana wenu yupoyupo tu.
Hivi Mh. Kalemani alowakosea nini hadi mkamtoa pale? Ni mtu simple asiye na ndoto kubwa za kushika madaraka makubwa, he was really good at his job!
Ona sasa tulipo, umeme majanga, JNHPP inachechemea, mafuta ndio usiguse, vita ya 'yukrein' my foot.
Turudishieni Chato boy pale, anaiweza mikiki mikiki ya wazara, sio huyo kijana wenu bingwa wa mabao ya mikono.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.Tuwe wazalendo na nchi yetu, maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko sarakasi za kutafuta madaraka 2025 na 2030, wizara ya nishati imepwaya mno.
Yale magenge ya wafanyabishara yamerudi, yana dictate business of the day, na yule kijana wenu yupoyupo tu.
Hivi Mh. Kalemani alowakosea nini hadi mkamtoa pale? Ni mtu simple asiye na ndoto kubwa za kushika madaraka makubwa, he was really good at his job!
Ona sasa tulipo, umeme majanga, JNHPP inachechemea, mafuta ndio usiguse, vita ya 'yukrein' my foot.
Turudishieni Chato boy pale, anaiweza mikiki mikiki ya wazara, sio huyo kijana wenu bingwa wa mabao ya mikono.
Siwezi kumuongelea sana Makamba kwa vile simfahamu kwa undani. Ingawa nadhani wingi wa nyuzi zinazompinga unaonyesha udhaifu wa Kalemani kiutendaji.Tuwe wazalendo na nchi yetu, maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko sarakasi za kutafuta madaraka 2025 na 2030, wizara ya nishati imepwaya mno.
Yale magenge ya wafanyabishara yamerudi, yana dictate business of the day, na yule kijana wenu yupoyupo tu.
Hivi Mh. Kalemani alowakosea nini hadi mkamtoa pale? Ni mtu simple asiye na ndoto kubwa za kushika madaraka makubwa, he was really good at his job!
Ona sasa tulipo, umeme majanga, JNHPP inachechemea, mafuta ndio usiguse, vita ya 'yukrein' my foot.
Turudishieni Chato boy pale, anaiweza mikiki mikiki ya wazara, sio huyo kijana wenu bingwa wa mabao ya mikono.
Umeongea Kwa sababu una mdomo, vidole, bando lako.Usilo lijua ni sawa na usiku wa giza.
Siri ya mtungi aijuae kata.
No research no right to speak.
Na pia tutambue kuwa Makamba ni kisingizio tu, hapa mlengwa ni Rais Samia moja kwa moja. Wanajifanya kumshambulia Makamba kumbe kwa akili inayotazama katikati ya mistari ya sentensi mlengwa ni SSH mwenyewe.Kweli nimeamini Makamba ni Mti wenye matunda.....mti wenye matunda ndio hupopolewa na mawe..........
Ukiona unasemwa semwa sana jua kuwa unakitu kikubwa cha ziada kuliko wale wanao kusema.....hivyo ni tishio kwao....na hivyo lazima waanzishe majungu na fitina kumchafua kwa kila njia lkn kamwe hawezi kuchafuliwa tena.
Mh. Makamba anapaswa apige kazi kweli kweli ili wabaya wake ambao kila uchwao wanamuombea mabaya wabaki midomo wazi.
Wajinga na wapuuzi sanaNa pia tutambue kuwa Makamba ni kisingizio tu, hapa mlengwa ni Rais Samia moja kwa moja. Wanajifanya kumshambulia Makamba kumbe kwa akili inayotazama katikati ya mistari ya sentensi mlengwa ni SSH mwenyewe.
Hizi mada za umeme ni kisingizio cha kutaka kupunguza uhalali wake wa urais wa sasa, wakidhani kuwa 2025 watakuwa wameshampunguza kasi kama wakianza mashambulizi leo hii.
Chato boy my foot!! Hii inaonyesha waz jinsi mlivyo wabinafsi na wakabila, kwamba mtu pekee niyeye tu? Kaeni kwa kutulia zama zenu zimepita na hazitarudi tena!!Tuwe wazalendo na nchi yetu, maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko sarakasi za kutafuta madaraka 2025 na 2030, wizara ya nishati imepwaya mno.
Yale magenge ya wafanyabishara yamerudi, yana dictate business of the day, na yule kijana wenu yupoyupo tu.
Hivi Mh. Kalemani alowakosea nini hadi mkamtoa pale? Ni mtu simple asiye na ndoto kubwa za kushika madaraka makubwa, he was really good at his job!
Ona sasa tulipo, umeme majanga, JNHPP inachechemea, mafuta ndio usiguse, vita ya 'yukrein' my foot.
Turudishieni Chato boy pale, anaiweza mikiki mikiki ya wazara, sio huyo kijana wenu bingwa wa mabao ya mikono.
Tambueni kuwa Makamba ataendelea kuwa Waziri wa Nishati na Mtengeneza madili wenu aliyewapa madili kwenye miradi ya Rea kalemani ameshaondoka na harudi tena Wizara ya Nishati!Tuwe wazalendo na nchi yetu, maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko sarakasi za kutafuta madaraka 2025 na 2030, wizara ya nishati imepwaya mno.
Yale magenge ya wafanyabishara yamerudi, yana dictate business of the day, na yule kijana wenu yupoyupo tu.
Hivi Mh. Kalemani alowakosea nini hadi mkamtoa pale? Ni mtu simple asiye na ndoto kubwa za kushika madaraka makubwa, he was really good at his job!
Ona sasa tulipo, umeme majanga, JNHPP inachechemea, mafuta ndio usiguse, vita ya 'yukrein' my foot.
Turudishieni Chato boy pale, anaiweza mikiki mikiki ya wazara, sio huyo kijana wenu bingwa wa mabao ya mikono.
Yule anaweza kuiba kura tu. Sio mtendaji na hasa Kwa wizara nyeti Kama ya nishati. Na pengine ni wale wahuni mwendazake aliowasema wanafungulia maji ili kuuza majenereta na kupata pesa za kampeni 2025.January nahisi nyota yake ina giza sana!
Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu!
Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana.
Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi hawampendi January ama kwa kukalilishwa ubaya wake ama kwa hila.
Kwa chuki zilizo bayana kwa January kutoka Watanzania wengi hasa masikini wanaoendelea kuaminishwa kwamba jamaa ni mtesi wao basi tujiandae na mtikisiko mkuu ndani ya siasa za CCM huko mtaani.
Yatapotukia hayo basi mteule wake atakuwa hana chaguo jingine zaidi ya kumtoa kafala kwa maslahi mapana ya kisiasa kwake.
Ikumbukwe hata Kikwete alilazimika kumtosa rafiki yake Karamagi kwa kulazimishwa na sintofahamu ya kisiasa huko mtaani.
Hata isipokuwa mwaka huu lakini natabiri January hatoboi 2025.
Huna lolote. Chuki zako tu kwa Makamba.Tuwe wazalendo na nchi yetu, maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko sarakasi za kutafuta madaraka 2025 na 2030, wizara ya nishati imepwaya mno.