Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

Acheni chuki kwa Makamba. Makamba piga kazi usisikilize watu kama hawa waliotemeshwa ulaji hapo wizara ya nishati.
 
Babu utakufa bure kwa roho mbaya.
punguza chuki na roho mbaya ili angalu umri wako wa kuishi uongezeke.
 

January baba yake anasema wananchi wanakula asali kumbe kinyume chake​

 
MAJUNGU NA FITINA.
Lengo la hao wanao fanya kazi ya kumchafua makamba na baadhi ya viongozi wengine ni kuhakikisha kuwa Rais anakosa wasaidizi/watendaji wachapa kazi wabunifu,wafuatiliaji, waaminifu, waadilifu na watiiifu na wazalendo.
Chunguza utaona wale wote wanao jituma kufanya kazi kwa bidii ndio wanao sakamwa kwa maneno ya ovyo......mara makamba mara oohh Mwiguli...
...n.k.........
Mkakati uliopo hivi sasa ni kuwachafua kwa njia yoyote ile kiongozi yeyote yule anaye onekana kutimizi majukumu yake kwa bidii na maarifa......kwa lengo la kuwavunja nguvu na spidi yao ya utendaji.
 
January mnamsakama nyinyi wafuasi wa dikteta magufooli tu, mmejawa chuki na utawala wa mama, na mmechukia msukuma mwenzenu Kalimanii kutolewa Nishati,

Rais Hana Muda wakuwasikiliza nyie wapuuz na mnaoitusi serikali mitandaoni kila uchao
 
Makamba hafai hata kuwa Mtendaji wa Kata, hana aggresiveness ya Kiuongozi wala Kiutawala. Labda akawe Mwenyekiti wa Wavuta Shisha
Basi hile wizara tutampa yule baba yako mlevi wa komoni!
 
Kumbuka myi wenye matunda mazuri ndio hupigwa mawe
 
Hebu acha kufata mkumbo taja kwa ushahidi ubpya wa januari
 
Kwa kifupi wanataka kumuendesha mama kwa ajenda uchwara ili apoteze focus na kuanza kubadili badili serikali!

Hawana lolote la maana zaidi ya kutaka kumuendesha Mama wa Watu

Uzuri Mama wa Kizanzibar keshawashtukia! Kakaza kweli Kweli😂😂😂
 
Huyo chato boy mkampe wizara ya kulinda kaburi labda
 
Yaani wanataka Rais awe na wasaidizi/watendaji wanafiki wenye agenda za siri ili mambo yasiende....thubutu!! sio zama hizi!!
Mama sio mtu wa mchezo mchezo!! kajaaa vilivyo
 
Kikubwa wananchi tuelekezwe hilo SOKO LA DUNIA lilipo tukaemee wenyewe bidhaa maana yawezekana serikali haiwezi kubargain.

Makamba ni baadhi ya matokeo mabaya ya wasomi vijana tulionao anayeamini ni smart kichwani kumbe hana jipya.
That's the problem ya kuamini sana vyeti !!
 
Duh ! U-Rais bado ni mbali sana ! Na pia muelewe wapo madeep state wanauangalia mchezo wote na mwisho wa yote haya ni wao ndio watakaompendekeza nani anafaa kuwa Rais ili akapigiwe kura na wananchi !! Mark my word !! Na wala msidhani Hao watu ni wa kutoka gang yeyote mnazozitaja humu !! They are neutral and always will be neutral !!
 

Mama acha asupaze shingo huku mtaan watu wamevimba balaa
 
Maisha yana Mambo mengi sana. Makamba na Baba ake ndio wanaokwenda kuroga ili wapate antention ya watu

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…