Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Acha umbeya. Kama una uhakika na ushahidi, Nenda mahakamani. Mnaboa sana, mwanadamu anatumia akili na ufundi kumpiga mtu majungu. Kwa aina ya uandishi huu, ungeweza kupeleka ushahidi mahakamani na kumshtaki. Acha kuvunja heshima watu.
 
Huyu ndio GuDume yule wa twitter chenga kabisa
 
Asante Mungu utawala wa kishenzi umekwisha!
 
Mkuu umenikumbusha mbali mno, ni kwa wahenga tu ndiyo watakupata!! nafikiri ni hadithi ya darasa la tatu kitabu cha kiswahili kusoma na kuandika.

Nafikiri Askari number 1 alisema hivi : "Mbona mnawakanyaga wenzenu kama majani.."
 
Watanzania hawajasahau makonda.. Kama anajidanganya basi atakuwa anawazimu
 
Watanzania itakua ndio watu tunaoongoza kwa upole Duniani....

Tukishapiga piga kelele kwenye mitandao masikini imeisha hiyo, tunawait breaking news nyingine, na kizuri zaidi Nchi hii haikauki breaking news.
Tunadeal na tukio likiwa moto, likipoa hatuna habari nalo.
 
Mkuu umenikumbusha mbali mno, ni kwa wahenga tu ndiyo watakupata!! nafikiri ni hadithi ya darasa la tatu kitabu cha kiswahili kusoma na kuandika.

Nafikiri Askari number 1 alisema hivi : "Mbona mnawakanyaga wenzenu kama majani.."
Unaweza kuwa sawa. Nlisoma zamani sana miaka ya 80s
 
Vip makonda anakukaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…