Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Ninachokishukuru na kulitukuza jina la Mola wetu aliye juu ni kwamba Raisi wetu wa sasa hafanyi maamuzi kwa mihemko. Na bila shaka wasaidizi wake wanatimiza wajibu wao kisawasawa... Sio kila linalosemwa linafanyiwa kazi. Huyo anayetajwa kwa hili na lile huenda akawa ni ktk wanaofikiriwa kupewa majukumu fulani wayakamilishe kutokana na utendaji wao. Sisi binadamu hatujatimia kwa asilimia zote, ukifanya vizuri sehemu fulani kuna sehemu nyingine unakosea... Ndivyo tulivyo. Mwisho wa siku tutakupima kwa ukubwa wa faida na hasara uloisababisha. Faida ikipiku hasara tutaendelea kuwa nawe na harasa uloisababisha tutaipuuza kwani haina madhara. Na kama ni kinyume chake basi hatua stahiki zitachukuliwa juu yako. Hivyo mnaoimba mapambia kwenye hii single mtake note...!!

Nachotaka kusema ni kwamba Mama yupo makini, Hapangiwi.
 
Makonda naye kafaya haya haya ya Sabaya. Kuivamia clouds ni kielelezo cha nguvu ya ukatili/ukiukaji wa sheria aliokuwa nao. siyo kuwa aliishia hapo, amefanya mengi hasa ya kuchukua fedha kwa lazima kutoka wa wafanyabiashara. Akikamatwa watajitokeza wengi kutoa ushahidi.
Alifanya hayo ikaundwa kamati ya kuchunguza tukio, Jiwe akaizima. Means Jiwe alisimamia haya yote ya akina Sabaya. makonda alikuwa kipenzi cha Jiwe, hivyo alitenda atrocities nyingi.
nani alimtishia bastola Nape?
Bottomline wa kuwachunguza ni wengi sana
Unavyoandika ni kama hukupitia mikononi mwa waalimu kwa muda wa kutosha. Kamati ya kumchunguza Makonda iliundwa na nani? Ripoti ilipelekwa kwa nani? Nani aliyetakiwa kuifanyia kazi? Onesheni uwezo wa ufahamu ili hata kama mtu ana makosa, atiwe hatiani kihalali, siyo ushabiki.
 
Makosa yote aliyosomewa Sabaya ni ya Mwaka huu 2021, najiuliza ikipekuliwa miaka ya nyuma si itakuwa balaa, angefika 2025 nadhan angeakuwa kishaanza kupakata Wanaume maana wanawake alikuwa kishamaliza
Atakuwa anapakatwa Saa hizi huko mahabusu
 
Unavyoandika ni kama hukupitia mikononi mwa waalimu kwa muda wa kutosha. Kamati ya kumchunguza Makonda iliundwa na nani? Ripoti ilipelekwa kwa nani? Nani aliyetakiwa kuifanyia kazi? Onesheni uwezo wa ufahamu ili hata kama mtu ana makosa, atiwe hatiani kihalali, siyo ushabiki.
Naona umeanza na matusi, sijapenda ningelikutukana vema but let me spare you by now!
Nape akiwa waziri wa habari na utamaduni hakuunda kamati na katoa mrejesho? The outcome was Jiwe to terminate his service as a minister. Huyajui hayo?
 
Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.

Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.

Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.

Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.

Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.

Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
 
Mzee wa kuenjoy kuliko mtu yoyote duniani hakuanza leo kutafuta huruma za wanyonge, alianza muda kidogo kwa kujipiga picha kuashiria amefilisika na ana hali mbaya kiuchumi.

JamiiForums1643637876.jpg

Huyu hela zake zote alizowa dhulumu wafanyabiashara ameisha zihamisha kwenye account za watu binafsi na nyingine amekwenda kuzificha kijijini kwao kwenye mifuko. Waliangalie na hili.
 
Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)

Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.

Visasi havijawai kuleta amani na umoja.

Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
 
Mzee wa kuenjoy kuliko mtu yoyote duniani hakuanza leo kutafuta huruma za wanyonge, alianza muda kidogo kwa kujipiga picha kuashiria amefilisika na ana hali mbaya kiuchumi.View attachment 1809463
Huyu hela zake zote alizowa dhulumu wafanyabiashara ameisha zihamisha kwenye account za watu. Waliangalie na hili.
Inaonyesha ameacha mazoezi.

Ametokwa na love handles na saggy tits
 
Kuna sehemu nimesema wanasema ameshadakwa Leo anahojiwa. Sina uhakika ni tetesi maana tusubiri taarifa rasmi.
 
Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)

Visasi havijawai kuleta amani .

Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa mpaka leo.
Kwanini asingekumbukwa?

Mbona Hitler anakumbukwa?

Charles Taylor anakumbukwa pia.

Kukumbukwa utakumbukwa labda swala lije ni utakumbukwa kwa lipi.
 
Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.

Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.

Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.

Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.

Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.

Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Cha msingi mkuu, asije toroka chato to Kagera to Mtukula then Unganda KARIBU ila bado akipuyanga mpaka Kanyigo anaweza fika Uganda kirahisi mno KWA njia za panya pitia ziwa Victoria, pale zipo mitumbwi ya ingine ni rahis Sana that's ifikapo maeneo yale mali Kama vitenge nk TOKA Ug rahis Sana pata

Kama alitenda wema atulie,Rais SSH alisema wema wa mtu hufuata popote aendako, so nimetoa angalizo KWA vyombo vyetu vya ulinzi
 
Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)

Visasi havijawai kuleta amani .

Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa mpaka leo.
Aliowatendea walimkosea nini? Tuanze na hilo kwanza!
 
Back
Top Bottom