Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

Huyo TIJA akiletwa huwa anafichwa wapi? Maana huku mitaani haonekani.
Alizurura Kikwete hivi hivi kwa kisingizio hicho hicho cha tija...mpaka anaondoka hakuna la maana.

Wananchi wafungue macho sasa, CCM ni janga!

Ni heri ccm iendelee kuongoza
 
Yeye watu ambao huwa hawaamini ni watanzania wenzie na waafrika ila akikutana na rangi nyeupe aah anakuwa huru tu. Peter ilifikia wakati wakawa wanashikana tu.
 
Yanatokea matatizo badala ya kukatisha ziara ndio kwanza anakwenda kuonana na wanaotuhumiwa.

Kweli tumepata Rais.
Kama wamepokea advance utaanzaje kuahirisha?
 
Naona huko Hakuna kuvaa barakoa.
Na mikono wanashikana.
Huku tunaandaa matamasha ya kuhamasisha chanjo.
Mambo ni mengi!
Akitoka oman apite saudia kusalimia ndg na jamaa!
Tunawatakia mauziano mema ya rasilimali zetu
 
KIla nikipitia huu Uzi dah! Hii nchi ina watu wajinga sana

Sheikh, hawa watu sio wa kuongozwa na marais wanaojielewa na kutambua thamani ya mtu mfano wa huyu mama maaashallah Allah amemjaalia, ana huruma, utu na upendo,, hawa dawa yao watawaliwe na rais dikteta, wateswe, wanyongwe labda ndio wanatamani iwe hivyo. Na watamkumbuka sana huyu mama.
 
Naona huko Hakuna kuvaa barakoa.
Na mikono wanashikana.
Huku tunaandaa matamasha ya kuhamasisha chanjo.
Mambo ni mengi!
Akitoka oman apite saudia kusalimia ndg na jamaa!
Duh
 
Ana utu?
 
Angalia huyu, yani mnaongea vitu kwa kubahatisha 😁 kweli bongo sihami.

Amefarikia saudia na sio oman, Allah Allah amuingize katika pepo huyu ndugu yetu idi amin
Nani kasema alifia Oman?

Acha ufala kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…