Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

Unaweza ukawa na Hoja Nzuri pengine lakini ukiwakilisha kwa utovu wa nidhamu lazima ukele Wengine
 
Wako bize kutafuta teuzi tu.
 
CODES OF ETHICS ZIFUATWE KELELE ZA MATUSI TUMESHAZIPINGA SANA HAPA NADHANI SASA TARATIBU TULIZOJIWEKEA ZIFUATWE NA WAHUNI WAWAJIBISHWE BILA HURUMA YOYOTE.
 
Bibi huo mchakato ulishapita na hela mkala... Huyu Bi mwenzio alikua pale juu kwenye kiti..
Hela za nini tumekula? Au haukuona kuwa mchakato wa katiba uliishia njiani wakati wa Kikwete?

Unazijuwa sababu za mkutano ule wa katiba kumalizka bungeni? Ni kuwa wabunge wengine wamepiga kura ndiyo na wengine hapana na hazikutimia na mujda waliopewa ukawa umekwisha.

Utamlaumu mama Samia ambae kayaona hayo na kasema watu wapee muda wa kutosha kuielewa katiba?

Wewe unaielewa katiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…