Nime subscribe kwenye hii thread ibaki km kumbukumbu kwa cku zijazo I believe tutatolea mifano hai huu ufujaji wa mali ya umma
 
...raia wana njaa mama! WAPENI KEKI BASI....!

View: https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1813930010677522922

View: https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1813930010677522922/video/1
HUKU RAIA TUKILALAMIKA HAKUNA..

LOCAL LIBRARIES!

VIWANJA VYA KUCHEZA WATOTO VYENYE BEMBEA WALA MICHEZO YOYOTE ILE..

MABASI YA SHULE YA WATOTO SHULE ZA KATA!

NK NK NK

WAO BATA BATA BATA KWA KWENDA MBELE.....WAKIFUMBIA MATATIZO YOTE TULIONAYO NA KIZAZI KIJACHO!
 
Kwa staili hii hatutoboi,always womans hawana maono na ndiyo huwa wakatili sana,
 
 
Ukiwaza saba kuhusu hilo neno kwa kiswahiki huwezi amini kama lilitamkwa na Rais wa Nchi.
Wenzetu huko mbele ni hawajali, neno kama hilo linatoka kwa raisi je raia si ndio balaa sasa
 
Huyu Mama yenu jau kweli, sa anamwogops nani nae kama sio sifa tu na utumbuaji?

Wakati wananchi tunatumia TECNO yeye anaenjoy tu🤔
 
Hatari sana
 
Nimehesabu 118
Alafu kuna raia anasimama anasema lipeni kodi nchi iweze kujiendesha.
 
sadly gari zinazipita hapo ni. chuma za milion 350+ kwa gari moja.

manake hapo zimepita chuma za bilion 600 zote namba E
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…