Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...raia wana njaa mama! WAPENI KEKI BASI....!Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.
Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafara mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Afrika na Duniani.
Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.
Ndivyo mlivyo kuwaita wananchi wanao wachangia nyumbu baada ya kushiba ni kawaida yenu mbonaAcha ujinga wewe nyumbu hakuna Nchi ambayo Haina misafara
Mkuu haunaga conscious? Natamani kujua tu kama siasa inaweza ondoa kabisa empathy...Pole
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette
Mama anaupiga mwingi kwanza Huo msafara ni mdogo ulipaswa uwe Magarin350Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.
Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za Dodoma na Dar es salaam, akiwa na msafara mkubwa kuliko sasa kiongozi yoyote yule Afrika na Duniani.
Ukiangalia huo msafara ni inatisha, huwezi amini kuna shule hazina matundu ya vyoo na tunangoja USAID watujengee.
Wenzetu huko mbele ni hawajali, neno kama hilo linatoka kwa raisi je raia si ndio balaa sasaUkiwaza saba kuhusu hilo neno kwa kiswahiki huwezi amini kama lilitamkwa na Rais wa Nchi.
...raia wana njaa mama! WAPENI KEKI BASI....!
View: https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1813930010677522922
View attachment 3046630
View: https://x.com/TanzaniaLeaks/status/1813930010677522922/video/1
HUKU RAIA TUKILALAMIKA HAKUNA..
LOCAL LIBRARIES!
VIWANJA VYA KUCHEZA WATOTO VYENYE BEMBEA WALA MICHEZO YOYOTE ILE..
MABASI YA SHULE YA WATOTO SHULE ZA KATA!
NK NK NK
WAO BATA BATA BATA KWA KWENDA MBELE.....WAKIFUMBIA MATATIZO YOTE TULIONAYO NA KIZAZI KIJACHO!View attachment 3046630
DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Toa upumbavu wako hapa
Kila Nchi ya Africa Ina msafara wa Rais wa hivyo hivyo na wengine ni zaidi so hakuna Cha ajabu hapo