Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Habari Wana Yanga Wenzangu, kiufupi na Mimi ni Yanga Die Hard
Sa hivi SAA Mbili Usiku wapo wanapiga Soga na Samia, wakitoka hapo wamechoka, wanaenda kuoga, wanaenda!!
Mechi ya kesho wachezaji wengi muhimu watapumzishwa kwa ajili ya Azam.

BInafsi ni die hard fan wa Yanga ila wanangu wa koma kumwanya washinde ili wasicheze play off.
 
Tangu mwanzo ilitakiwa kusema tu, tunakudai kiasi hichi kama gharama ya kuvunja mkataba lipa ondoka.
Hili umelisemea sana lakini watu hawakutaka kuelewa sababu ya ushabiki.Sasa tuone kama Yanga bado watataka kumwambia Fei team inayomtaka ije mezani baada ya maelekezo ya leo .Hapa linakwisha kwa 112M walizozikataa na dogo anasepa zake kiulaini.
 
Mbona mimi haujani tag?😡
 
Nchi isiyo na mafanikio yoyote yale yaliyo ya maana, kwenye nyanja yoyote ile, inaona timu kufikia fainali ya kakombe kaliko obscure duniani kuwa ni mafanikio?

Pity the fools.
long time no see, sir.,.....
 
i salute you sir
 
Hili umelisemea sana lakini watu hawakutaka kuelewa sababu ya ushabiki.Sasa tuone kama Yanga bado watataka kumwambia Fei team inayomtaka ije mezani baada ya maelekezo ya leo .Hapa linakwisha kwa 112M walizozikataa na dogo anasepa zake kiulaini.
Kabisa mkuu.
 
Matajiri hawakabwi kodi.
Unadhani Azam, MO, GSM, Azania, Sayona wanalipa kodi kwa haki?
Mkuu, mm nlitaka kujua tu kama ni kisheria au kisiasa.
 
mama nae kasharahisisha mambo, angeacha tuone yanga na fei wanavyotoana damu
 
Reactions: Tsh
Mkuu, mm nlitaka kujua tu kama ni kisheria au kisiasa.
Wawekezaji wote hulindwa, wafanyakazi wote hukatwa kisheria, wafanyabiashara majadiliano hufanyika alipe kiasi gani
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…