Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni
Shida ya maccm ni kulindana majizi ya awamu iliyopita yote yapo uraiani badala ya kuwa jela,yalijifichia kwenye ukali Ili kuficha uhalifu wao.
Jizi mojawapo ni Kimei, wamelipa na ubunge kabisa, jamaa kaiba sana crdb. Alikuwa anashirikiana na wafanyabiashara wezi kutoa mikopo ya hovyo hovyo huku yeye akipewa 10%.
 
mahakama ndio muhimili wa mwisho wa kutenda haki na kesi ipo mahakamani

mahakama iachwe ifanye kazi yake
 
Huyu mama yenu mwacheni aendelee kucheza na mavi

20210427_193657.jpg
 
Lisu atulie huko alipo aendelee kulishwa atuache na Rais wetu kipenzi.
 
Huoni hata leo IGP kajikakamua kusema mapato ya usalama barabarani yamepungua kwa vile watu hawafanyi makosa tena. Akidhani ni ujiko kukusanya fine za barabarani. Mh. Rais kamzodoa kwamba wasitegemee fine kama chanzo cha mapato. Bali watoe elimu watu wasifanye makosa.
Polisi wanakulazimisha ufanye kosa la barabarani wakutwange fine.
Kutoa elimu ni kuwakosesha mapato.
Tulifikishwa mahali pabaya
 
Jizi mojawapo ni Kimei, wamelipa na ubunge kabisa, jamaa kaiba sana crdb. Alikuwa anashirikiana na wafanyabiashara wezi kutoa mikopo ya hovyo hovyo huku yeye akipewa 10%.
Mwingine Dau hadi kazawadiwa ubalozi akazitumie vizuri baada ya kuifilisi nssf na mwendazake huku wanachama wakikosa pesa zao.
 
Huoni hata leo IGP kajikakamua kusema mapato ya usalama barabarani yamepungua kwa vile watu hawafanyi makosa tena. Akidhani ni ujiko kukusanya fine za barabarani. Mh. Rais kamzodoa kwamba wasitegemee fine kama chanzo cha mapato. Bali watoe elimu watu wasifanye makosa.
Huko ﹰMagharibi wenzetu wamefunga ﹰCamera barabarani ukifanya kosa camera ibapiga picha unakuta bili yako kwa email yako issue unathibitisha tu..!! Huku sisi tunataka tuanze ukifanya kosa askari aje kukuelimisha eti umepita kwenye taa nyekundu unatakiwa upite kwenye taa kijani..!! Shubamitiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ikikosa Rais mzuri mifumo yote inakuwa ya kishetani. Akina Igp siro leo wanafanya kazi kwa uhuru kwa mujibu wa sheria za nchi. Wametukosea sana kwa kushiriki maovu na vitendo vibaya wakati wa Ibilisi Jiwe.
Inatisha sana ndugu,
 
Sio kama wanabambikiwa bali ushahidi ulipo ni hafifu kuwatia hatiani.
Wewe na rais ni nani anayejua zaidi yaliyopo ofisi ya DPP, TAKUKURU na Polisi?
Usimbishie rais, ana vyombo vingi kuliko sisi tunaotegemea magazeti na mitandao.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
PAMOJA NAJUHUDI ZOTE HIZO ZA RAIS WETU, AMINI NA WAAMBIA MALIPO ATAKAYO YAPATA MAMA KWENYE SERIKALI YAKE JUU YA UVUNJIVU WA AMANI NA RUSHWA HAUTA SAHAULIKA, SABABU WATANZANIA HATUPO HIVYO NA HUWA TUNATAFUTA WEAK POINT
Kwa hiyo na yeye aendelee kubambikia watu kesi?
 
Back
Top Bottom