Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo tuwaachie weupe ndo uyawezaNi lazima tujenge utamaduni wa kujiuzulu pale tunapojua kabisa kuwa maeneo yetu tunayoyafanyia kazi yakiwa yameboronga
Matukio mengi wamepiga watu wa usalama, na polisi kuchunguza hawawezi.Utendaji kazi wake umeingia doa, kwa kuwa huyo mwendazake, anayedaiwa kuwa ndiyo aliyekuwa anamuagiza kufanya uovu wote huo, ametangulia mbele ya haki...........
Sasa balaa kamuachia IGP Sirro, ambaye ameelezwa hadharani na Rais Samia Suluhu, kuwa Jeshi lake ndilo linawabambikia kesi raia wasio na hatia!
Mwinyi, kipindi gani?Alijiuzulu Mwinyi peke yake kwenye historia ya nchi hii.
Akiwa waziri wa mambo ya ndani enzi za utawala wa Nyerere, kuna issue ilitokea Shinyanga siikumbuki vizuri iliyohusu wizara yake akaona isiwe tabu akamuandika barua Nyerere kumuomba ajiuzulu akakubaliwa.Mwinyi, kipindi gani?
Mwishoe akawa Rais huku na huku, hii ndio heshima ya kuwa responsible!Akiwa waziri wa mambo ya ndani enzi za utawala wa Nyerere, kuna issue ilitokea Shinyanga siikumbuki vizuri iliyohusu wizara yake akaona isiwe tabu akamuandika barua Nyerere kumuomba ajiuzulu akakubaliwa.
Kamtoa mbungo hapo takukuruKwa idadi ya kesi alizotaja, Mh. Rais kathibisha kwamba kuna kesi nyingi za kubambikizwa ktk taasisi za kulinda haki. Mitaani haya tumeyajua siku nyingi. Maana nyingine ni kwamba pia kuna wafungwa wa kubabikizwa. Yeye akiwa ni mwenye madaraka juu ya hao wabambikizaji, amechukuwa hatua gani za kinidhamu? Hatupendi kusikia kwamba nimewaambia TAKUKURU sasa nawaambia Polisi, so what
Ukisha waambia wakawaachia waharifu kwa jina la kubambikizwa na hao wabambikizaji wakabaki ofisini, kuna maana yoyote? Na inavyoonekana sasa kutakuwa na mtindo mpya wa kujitoa ktk mikono ya sheria; toa kitu kidogo na unaachiwa kwa kubambikizwa kama rais anavyotaka kusikia. Tumetangaziwa walioachiwa, tutangazieni na waliobambikiza watu kesi.
lakini pia niongee na jeshi la Polisi kupunguza kesi za kubambikiza.Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
====
Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo uchunguzi unaanza kwenu kuharakisha chunguzi za kesi mbalimbali zilizopo ili kuharakisha kesi kusikilizwa na iadha kufutwa au mtu kuhukumiwa ipasavyo lakini pia niongee na jeshi la Polisi kupunguza kesi za kubambikiza.
Kuna mlolongo mkubwa wa makesi ya kubambikiza, huu ukipungua na mahabusu watapungua, kwasababu wengi wapo wanasubiri kuhukumiwa, kesi haiendi, ushahidi hakuna, mpelelezi anashindwa kupeleka kesi kwasababu hakuna ushahidi.
Niombe sana, nilizungumza hili na TAKUKURU, wameweza kufuta kesi 147 ambazo waliwabambikizia watu, kwahiyo nanyi Jeshi la polisi jikagueni kama kuna za aina hiyo nazo zifutwe ili tupunguze wingi wa mahabusu kwenye majela yetu.
Tunalinda legacy na kumuenzi mwanakwenda! Alikuwa mtu wa haki sana!!!Kwahiyo kesi zote 147 zilikua za kuumiza watu wasiyo na hatia? kweli ngozi nyeusi hatupendani...yaani mtu anaona rahaa kwa mwenzie kupoteza rasilimali zake bila hatia yoyote.
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]Source ya taaarifa iko wapi mkuu?
Leo katika hafla ya juwaapisha majaji wapya Mh Rais Samia Suluhu Hasani amewataka jeshi la polisi, ofisi ya mwendesha mashtaka na Mahakama kuhakikisha wanaharakisha michakato ya kesi mbali mbali ili kutoa haki wa watuhumiwa badala ya kuchelewesha haki za watu.
Hili linakuja ikiwa ni kiasi cha mwezi mmoja tu ambapo Tito Magoti afisa ktk Shirika ka haki za binadamu HRLC alitoa siri na kuelezea kadhia wanazopata watuhumiwa wa kesi mbali mbali huku barua hiyo ikielekezwa kwa Mh Rais.m
Nimekupata mkuu[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU ni fundi sana aliona atuondolee balaa hiloTunalinda legacy na kumuenzi mwanakwenda! Alikuwa mtu wa haki sana!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niombeni nikipata bilions kadhaaa mie afrika napotea. Kiongozi anaumia kuzidiwa hela na mwananchi wa kawaida. Yaaani msomi wa tra anaumia kuzidiwa hela na std4 failure. Shida ya wasomi kichwani wanajua wapo smart kutafuta hela.yaani elimu yenyewe kakariri wewe walichogundua wenzake akaingia kwenye mtihani akayatapika akapata first class. Akajua kuwa na mtaani atakuwa first class pia kutakuwepo ushindani.Kwahiyo kesi zote 147 zilikua za kuumiza watu wasiyo na hatia? kweli ngozi nyeusi hatupendani...yaani mtu anaona rahaa kwa mwenzie kupoteza rasilimali zake bila hatia yoyote.