Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upuuziWasalaam Maleko ndg ktk Uislam...!
Kuna jambo limeibuka ghafla la watu kuita Ramadhan Ramadan hili limekaaje
Ktk Dini je linakubaliwa?
Ramadhan Special ThreadWasalaam Maleko ndg ktk Uislam...!
Kuna jambo limeibuka ghafla la watu kuita Ramadhan Ramadan hili limekaaje
Ktk Dini je linakubaliwa?
Wewe nawee!Kha!Wasalaam Maleko ndg ktk Uislam...!
Kuna jambo limeibuka ghafla la watu kuita Ramadhan Ramadan hili limekaaje
Ktk Dini je linakubaliwa?
Wasalaam Maleko ndg ktk Uislam...!
Kuna jambo limeibuka ghafla la watu kuita Ramadhan Ramadan hili limekaaje
Ktk Dini je linakubaliwa?
Na mimi nimeshangaa!We mwenywe umefanya makosa sana kwenye kutoa hiyo salamu ya mwenyezi Mungu.
Wasalaam Maleko ndio nini?
We we ndio uelewi , wasalaam ni kwa uwingi. Salam maleko ni kwa mmoja mmoja.We mwenywe umefanya makosa sana kwenye kutoa hiyo salamu ya mwenyezi Mungu.
Wasalaam Maleko ndio nini?
Unaendeleza upuuzi wakoWe we ndio uelewi , wasalaam ni kwa uwingi. Salam maleko ni kwa mmoja mmoja.
Acha upuuzi
Ramadhan kiswahili
Ramadan kiingereza
Leo umeshinda njaa mkuu,hili jibu umetoa kabla ya kufuturukufuturu
We umefanya nicheke zaid,karibu futruYOTE SAWA TU ILI MRADI FUNGA INAKWENDA VEMA
Huyu jamaa bana eti wasalaam maleko ndo nini??!!!
Mkuu funga analipa Mungu mwenyewe hakuna anayejua malipo yake, umejuaje kama ameshinda njaa? Either ni dhana au shirki. Omba istighifaar
Aah mbona wale wanaokula mchana mnawapiga?mkiambiwa ukweli muwe mnakubali bana
Ona huyu naeView attachment 523906
Kumbe eeAcha upuuzi
Ramadhan kiswahili
Ramadan kiingereza