Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Tarehe ya leo ndiyo ilizaliwa Chadema miaka 30 iliyopita. Umri wa miaka 30 ni umri wa mtu mzima ambaye lazima atakuwa alishapiga hatua kadhaa kimaisha na wengi wao wanakuwaga wameshajenga tayari.
Licha ya Chadema kuongozwa kwa muda mrefu na billionea Mbowe lakini leo inatimiza miaka 30 ikiwa na mbunge mmoja tu bungeni na haina ofisi ya chama!, mpaka leo wamepanga kwenye jengo chafu kwenye mtaa wa mateja ws ufipa na manyanya.