We maku kweli kweli, wapi kaandika mil 116Hii hapa 👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We maku kweli kweli, wapi kaandika mil 116Hii hapa 👇
Habari wadau..
Chadema wanatia aibu Sana yaani kwa vijengo hivi vya Ofisi ndio wanashangilia na kujipiga kifua 😜😜.
Jengo Ni baya Kama Godown/Store ya kutunzia Dagaa,Mbaya zaidi eti gharama Ni mil.116 😁😁😁😁.
Kama mnavyojua muonekano wa nje wa kitu huakisi uwezo wa Akili na hulka yake.
Kama Ofisi tuu zimewashinda hiyo Nchi wataiongozaje? Where is value for money kwa hako kajengo ka 116?👇
View attachment 2428886View attachment 2428887
Mmmh mil 116 au sijasoma vizuri
Kwahiyo pesa yetu ndio haina thamani kiwango hiki.
Asante kwa kunijuza.Una kubali kudanganyika kirahisi. Hiyo ni taarifa feki. Kuhusu jengo kweli limejengwa ila sio kwa hiyo Bei.
Habari wadau..
Chadema wanatia aibu Sana yaani kwa vijengo hivi vya Ofisi ndio wanashangilia na kujipiga kifua 😜😜.
Jengo Ni baya Kama Godown/Store ya kutunzia Dagaa,Mbaya zaidi eti gharama Ni mil.116 😁😁😁😁.
Kama mnavyojua muonekano wa nje wa kitu huakisi uwezo wa Akili na hulka yake.
Kama Ofisi tuu zimewashinda hiyo Nchi wataiongozaje? Where is value for money kwa hako kajengo ka 116?👇qiIView attachment 2428886View attachment 2428887
Chadema ni shida hii ofisi haizidi 20 milioniNyie takataka mumeshindwa kujibu hoja za Bashiru mnahangaika na Chadema ambayo mnadia siku zote imeshakufa , wapumbavu sana nyie.
Imefika tayari hiyo Ndio maana mapovuUnapaswa kufanya balance ya hii kitu,ujiridhishe kama ni taarifa rasmi ya chadema then ndio ufanye hitimisho lako.Umelishwa tangopori na wewe umekuja huku kupanua vidole badala ya kupanua ubongo.Wajuzi tunakupuuza na kukuona mshamba tu wa karne
Tupe Bei yake 😜😜Una kubali kudanganyika kirahisi. Hiyo ni taarifa feki. Kuhusu jengo kweli limejengwa ila sio kwa hiyo Bei.
CHADEMA ni majambazi yanayopigania kuwatoa majambazi wenzao CCM kazini!Chadema ni shida hii ofisi haizidi 20 milioni
Kama mwanachama ni wajibu kuhoji, tulisha changa kweli lakini wapi?Mambo yao waachie wenyewe...
Acha kuudanganya umma. "eti chama kinajenga ofisi kila pahala"Wewe sio Chadema, CHADEMA wanajua ujenzi wa ofisi za chama unaondelea Kila mahali. Hebu kaa kimya acha kujidharaulisha
CCM awamu ya sita inapambana na viporo vya matrillion ya she, lipo wazi hata kwa vipofu, tuwaombee wamalize ili wawe huru, and then tuje kupima mikakati yao mipya.Mkuu mbona unatumia nguvu nyingi bila akili towards CDM?,wewe ccm chama dola elezea utafanya nini tofauti na unavyofanya sasa kutawala Tanzania?maana viongozi wako wamekiri kuwa umasikini, ujinga, maradhi maadui hawa bado wapo nchini since walipogunduliwa na awamu ya kwanza ya utawala wenu, na mbaya zaidi binamu yao rushwa naye ananawili nchini, crude 🛢 imeshuka mno kwenye soko la dunia, hapa kwetu ndio kwanza inapanda bei!,diesel lita moja zambia ni less than 27ZWK, kwetu ni 3200tshs?,hii ni craze mkuu, nikiwa na 3200ZWK hii ni diesel ya kuniwezesha kunitoa Lusaka hadi Windhoek na change ninabakiwa nayo
Leta risiti urudishiwe hela yako.Kama mwanachama ni wajibu kuhoji, tulisha changa kweli lakini wapi?
Mimi ni mmoja ninayetaka maendeleo mema ya chama changu tungae kama vyama vingine.