RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

Sasa km ni hivyo kuna haja ya gani ya mwanaume kuwa na mwanamke? Km anajiweza na kujimudu yeye binafsi pekeee??
 
Unazungukaa sana wee mpare, jibu km wanawake hawana umuhimu ktk maisha ya wanaume ili ueleweke
Kuwekq uwingi au uchache ndo nini? Kwani hao wanawake wachache unao wa refer wee, ni wanawake au wanaume?
 
Unajua bado hata hujibu kile mie nakuuliza? Hizo juhudi binafsi si nimeuliza zipi?
Ingekua hivyo si wanaume wote wangekua na mafanikio, au hawa hawana juhudi binafsi??
 
Huyo ambaye anashindwa kuelewa mantiki ndogo kama zangu hawezi kuwa na sifa hizo. Nina uhakika.

Ili mwanamke awe na tija lazima awe na some man characters ikiwemo kutokuendeshwa na emotional
😂😂😂 sasa mie ndo naendeshwa na emotional??
Wee mpare em hukoo. Lol
 
Achilia hayo yote, ile kukuzaa tyuuh, mama yako ambaye ni mwanamke yuko nyuma yako.

Hiyo ya kusema hukuomba uzaliwe, na mama ako hakujua atakuzaa wewe, ni kujilisha upepo tUuh.
 
Siku ukiwa haupo ndio utajua huyo mwanamke anajua kutunza familia au ulikuwa ukitunza wewe.

Sisemi hawapo wanawake wachache wenye Tija. Wapo wachache Sana.
Ila wengi wao wanahitaji ukombozi mkubwa wa fikra. Wengi wanahita kupigwa Sanitizer
Hao wachache ni wanawake au wanaume? Mbona hata hujui unachokipigania?

Hao wachache unao refer ni wanawake wanawakilisha wenzao, ndo maana huo msemo ukawepo.
 
Kama walivyo wanaume nao ni pia wapo mizigo, tena nyie gender yenu ndo Vimeo vingi… kuna wenzenu wameamua kuwa Mario ili wapate mafanikio, wengine wameamua kuvuliwa ubingwa wapate mafanikio..!!

Hapo utasema mafanikio yao nyuma kuna nini??
😂😂😂😂
 
Ningekubaliana na wewe kwa 100% kama mama yangu asingekuwa mwanamke
Mkuu haya mambo mara nyingi watu hutoa maoni yao kulingana na maisha waliyoishi au wanayoishi.

Sio rahisi kumwambia wanawake sio wapambanaji, wadangaji, wapenda mseleleko kwa mtu ambae mama/bibi/dada/shangazi yake ndio aliemlea kwa kazi ndogondogo ambazo hata yeye alishiriki mpaka anakua mtu mzima.

Pia sio rahisi kwa mtu ambae kalelewa na baba na mama, huku baba akiwa main provider na mama akiwa mama wa nyumbani, kumuaminisha kua mama ni powerful na vitu kama hizo.
 
Yeah mimi baba na mama wote walikua wachapa kazi na walishirikiana hivyo mtu akisema wanawake hawana mchango nashangaa sana
 
Yeah mimi baba na mama wote walikua wachapa kazi na walishirikiana hivyo mtu akisema wanawake hawana mchango nashangaa sana
Kwangu pia bi mkubwa ana mchango mkubwa sana, hata mshua alipofariki bado yeye ndo alikua nguzo kuu.

Kuna vitu sasa hivi vinaendelea huku mitandaoni ukifatilia sana unaona ni hisia za watu tu na sio uhalisia.

Ni kumakinika, ila ubaya ni kua madogo wa buku bee kama Poor Brain wanabeba kila kitu cha mtandaoni
 
Sure
 
Katika zama hizi tulizo nazo hizi ndizo kauli zakufutw kabisa, mafanikio ya mtu ni juhudi za mtu mwenyewe maana wanawake mara nyingi ni tegemezi au labda kama kauli hiiiii inajikota katika fact ya kwamb tulizaliwa na mwanamke
 
Shekhe 007
Tunafturu wapi mkuu idd
 
Mkuu Robert Heriel Mtibeli anga za ngono na haya mambo huwa nakunyoshea mikono yote miwili. Hapa umepiga penyewe. Naomba ridhaa yako nikapost kwenye page yangu andiko hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…