RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

Uliwahi kujiuliza ni lini utatumia Akili zako bila kutegemea Google?
The Library Project makes it possible for users to search on Google through millions of books written in many different languages, including books that are rare, out of print, or generally unavailable outside of the library system.


 

Kwa nini ukisema hivi utaonekana unachukia wanawake licha ya kuwa ndio ukweli wenyewe.

Mimi tangu nimejitambua, nililigundua hilo.
Wanawake wengi 99% zaidi ya kuzaa hawana umuhimu katika maisha ya mwanaume zaidi ya stress na kukuharibia maisha.

Ila ukibahatisha mwanamke mwema aiseeh hiyo kwako ni tunu kutoka kwa Mungu.

Ogopa mtu hataki ukweli anataka umsifie hata kama ni uongo.
Ogopa MTU anayetaka apokee tuu yeye hataki kutoa.
Ogopa mtu ambaye kulea tuu mtoto wake analalamika.
Ogopa sana
 
Hata coca anatumika vizuri tu bwashee πŸ˜… ukishaielewa saikolojia ya mwanamke kula kwa mrija ni kugusaπŸ˜„ hauwaoni kina mwashamba?

Huyo ambaye anashindwa kuelewa mantiki ndogo kama zangu hawezi kuwa na sifa hizo. Nina uhakika.

Ili mwanamke awe na tija lazima awe na some man characters ikiwemo kutokuendeshwa na emotional
 
GF wangu alikuwa kila wiki akiomba elf 10 au 15 na kuendelea.
Majuzi kaniomba elfu 2 kwa simu, nikamwambia you are not serious.
Sijui wanawake wako wired namna gani?
 
Sahihi kabisa.

Tunategemeana, wanawake na wanaume husaidiana kwenye mambo mbalimbali, hakuna mwenye umuhimu zaidi ya mwenzake.

Hao kina mama, shangazi na dada ni ndugu wanaotekeleza jukumu la kusaidiana. Hata wanawake husaidiwa na baba, wajomba na kaka zao.

Ila huwezi sikia kwamba nyuma ya mafanikio ya mwanamke kuna mwanaume.
 



Sikiliza Binti.

Hoja yako haina mashiko kwa sababu watu wote unaona hapa dunia hawajashuka kutoka mbinguni. Walizaliwa, wakakuzwa na sasa wamekua watu wazima.
Kwani watu wote wamefanikiwa?

Wapo watu wamelelewa vituo vya Yatima.
Wapo watu wamelelewa na Baba, wajomba, kaka na mababu.
Wapo waliolelewa na Mama, Bibi, shangazi, dada
Wapo waliokulia mtaani.

Wangapi waliokuzwa wakasomeshwa na bado hawajafanikiwa?
Wangapi wamepewa urithi hawajafanikiwa?

Mafanikio kwa sehemu kubwa ni Suala la mtu binafsi, juhudi za mtu Kwa sehemu kubwa.

Kauli tunayoipinga ni hiyo kauli ya kutapeli kwamba Kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake yupo mwanaume. Jambo ambalo ni Uongo mkubwa. Hiyo ndio hoja
 

Tunategemeana ndio.
Lakini kwenye suala la uchumi ukweli usemwe kwamba wanawake wengi ni liabilities tuu. Wanahaja ya kubadilika mindset zao. Ili wasipewe sifa za kijinga.

Kitendo cha wanawake wengi kutaka wanaume wenye vipato/pesa kinaonyesha wazi kuwa kauli ya nyuma ya wanaume waliofanikiwa kuna mwanaume ni uongo.

Lakini pia kinaonyesha pia wanawake wengi ni Parasite
 
Awe anauliza hiyo kauli ya β€œNyuma ya mafanikio ya mwanaume, nyuma kuna mwanamke shupavu.” Ina maana gani?
Sio anaropoka km taahira…!!
Naomba maana yake tafadhali,uwezekano wengi tupo kama Mtaka hii kauli tunaifafanua ndivyo sivyo.
 
Mdogo wangu alikimbia mimba , tukajitolea kulea yule mtoto, baada ya kufikisha miaka mitatu yule binti akaja na wazazi wake kuomba msamaha kuwa mtoto sio wadogo , hayo mambo nilikua nayapinga sana ila yana mambo mengi sana nyuma yake
OyaaaπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™Œ
 
Bila mke wako ungeweza vipi kujenga familia?
tumesaidiana na mke wangu ndiyo maana imekua na tumekua na familia nzuri ,ila tungetegemeana na mke wangu basi pride ingesimama kati yetu, utegemezi ungekua na kuleta kiburi, majivuno na vikwazo, ila mkisaidiana inakua ooa sana mnakua na dhamira moja na sio mambo ya kutishana kwamba nitakuacha mimi , ila ukiweka utegemezi inagharimu maana ukiachwa utakufa au kuteseka maana ulizoea kumtegemea yeye na sio mwingine unamuona yeye tu ndiyo anaefaa ,na ndiyo neno alaaniwe mwanadamu amtegemea mwanadamu.
 
Mtatoana damu ,😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…