RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

😀😀😀
 
View attachment 3556363
Hii ni tafsiri kutoka kamusi ya cambridge. Cambridge ni chuo kikubwa duniani na hizi kazi huwa zinafanywa na wagu waliobbobea. Unaweza ukatafuta sources zingine wewe mwenye kujielewesha zaidi
😄😄😁Daahh + reference,

Ugomvi wa viwembe mnakuja na Ballistic missile like seriously!?
 
Mdogo wangu alikimbia mimba , tukajitolea kulea yule mtoto, baada ya kufikisha miaka mitatu yule binti akaja na wazazi wake kuomba msamaha kuwa mtoto sio wadogo , hayo mambo nilikua nayapinga sana ila yana mambo mengi sana nyuma yake
noma sana damu huwa inapiga kelele na inadai kama ilitokea hivyo moyo wa huyo dada ulikua unamshtaki ,kama mtoto sio damu yako ipo siku tu utajua tu ukweli, tunaona kwenye maandiko takatifu Abeli alivyouliwa na kain Mungu anamwambia kaini damu ya ndugu yako inanililia, hapo kaini ana hatia ya mauaji wa ndugu yake Abeli na moyo unamuuma anamjibu Mungu hovyo tu kuwa Mungu mimi ni mlinzi wa ndugu yangu nijue kilichompata? akala laana
 

Kwamba akikuzaa kunaondoa utegemezi wake? Hizi ndio akili za kumfanya mwanaume afanikiwe kweli😆😆

Wewe kuvuta chuchu au kutokuvuta kunaathiri nini mafanikio ya mtu. Hizi vichwa vinamoshi walahi wa sigara.
Wapo watoto hawajanyonya hayo maziwa, wapo wamekuzwa kiyatimayatima na wamefanikiwa.

Kumsomesha angalau utakuwa unaongea pointi
Lakini asilimia ngapi ya wanawake wanaweza kusomesha watoto ikiwa wao wenyewe wanahudumiwa na wanaume?
Kazi zipo lakini hawataki kufanya wanakuwa tegemezi na mzigo kwenye jamii na nchi?

Awe anauliza hiyo kauli ya “Nyuma ya mafanikio ya mwanaume, nyuma kuna mwanamke shupavu.” Ina maana gani?
Sio anaropoka km taahira…!!

Lazima mfanye mambo kwa vitendo sio kuleta maneno matupu.

Wapo wanawake wachache sana wanajitahidi kuwa wanawake wa Maana, lakini mostly hawana lolote. Ni Mzigo
 
Mwanamke nae akitoboa tunaambiwa ni superwoman sijui malkia wa nguvu. Hatujawahi kuambiwa nyuma yake kuna mwanaume.
😀😀

Nilianza biashara Kwa kuuza juice za kutembeza mtaani Sasa hivi Nina maduka ma4 kariakooo nyumba 3 za kisasa na magari ya kifahari ma3
 
Ukisikia kutegemeana kwa viumbe hai huwa unafikiri nini?

wanadamu tunategemeana kwa mambo mengi sana , hapa nilipo nategemea mtu afe niuze jeneza nikale , mtu afe nioshe maiti watoto waende shule na mambo mengine mengi , hata usipo tegemea Mungu sijui ,unaishi vizuri tu kama mtategemeana kama binadamu na mazingira yako
 
Wabadilishwe mindset zao.

Ingawaje wapo wanawake wachache sana ambao ukikitana nao ni kama umekutana na malaika
Uko sahihi. Hawa Wanawake wanalazimisha umuhimu wao kwenye maisha ya Mwanaume.

Mimi nimeoa na kuacha mara kadhaa, na hadi sasa nina watoto wa Wanawake 5 tofauti. Ni Mwanamke yupi hapo anaweza kusema mafanikio yangu yanatokana na yeye? Huyu bumunda aliyepo sasa ndo kwanza ana miaka 2 tu.
 
Ona sasa😅
 
Mafanikio ni very broad term, hata kutunza familia kwa ubora wa hali ya juu ni mafanikio, na hilo linafanywa kwa ufanisi na mwanamke anayejielewa, ila hayo mafanikio yanakuwa directed kwa kichwa cha familia.
 
😁😁😁
 
Mafanikio ni very broad term, hata kutunza familia kwa ubora wa hali ya juu ni mafanikio, na hilo linafanywa kwa ufanisi na mwanamke anayejielewa, ila hayo mafanikio yanakuwa directed kwa kichwa cha familia.

Siku ukiwa haupo ndio utajua huyo mwanamke anajua kutunza familia au ulikuwa ukitunza wewe.

Sisemi hawapo wanawake wachache wenye Tija. Wapo wachache Sana.
Ila wengi wao wanahitaji ukombozi mkubwa wa fikra. Wengi wanahita kupigwa Sanitizer
 
🤣🤣 Kilicho mkuta El mencho, Na gwajima na yule mwanamke kwenye connection Yao ya Kono la baunsa kilicho mkuta Idriss sultan Kwa wema sepetu
Kuna bumunda moja niko nalo hapa nyumbani, eti mnasema nyuma ya mafanikio yangu lipo lenyewe? Nyie wapuuzi nini?
🤣🤣🤣🤣🤣
 

Lakini na wewe unawezaje kuoa bumunda?😃
 
Siku ukiwa haupo ndio utajua huyo mwanamke anajua kutunza familia au ulikuwa ukitunza wewe.

Sisemi hawapo wanawake wachache wenye Tija. Wapo wachache Sana.
Ila wengi wao wanahitaji ukombozi mkubwa wa fikra. Wengi wanahita kupigwa Sanitizer
..na siku akiwa hayupo utajua kama alikuwa anatunza au ni wewe uliyekuwa unaitunza familia.

Hii dhana kwangu inacheza kote tu, kama familia ni kitu kimoja hakuna wa kujipa promo kwamba bila yeye mambo yasingeenda, sema kwenye maisha kuna umimi sana!!!
 
MUNGU TUNAMTEGEMEA YES BIG YES MAANA BILA MUNGU HATUWEZI, ILA WANADAMU TUNASAIDIANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…