Mkuu time comes and you realize those are just her future friends anaowatumia kama kamba (kukugalagaza) elewa fika hilo neno kwenye mabano
Yaani atakuburuza haswa ushawahi kuona kipigo anachotoa mtu ambae yeye mwenyewe na jamii kwa ujumla inaamini kuwa ni mdhaifu au mnyonge pale anapokuwa amepata bahati ya kumuotea shujaa au mbabe wa mapigano?
Kwanza kadamnasi huwa haiingilii kati kwa kuamini kuwa kile kichapo anachopewa shujaa ni halali maana kinaleta ahueni mioyoni mwao na kuwaponya vidonda vilivyosababishwa na taarifa za ushujaa wa alieotewa, kumbe mwenzao pengine kutafuta stance kateguka nyonga.
Sasa hapo mnyonge atatoa kichapo ambacho kimechanganyikana na hofu ndani yake pamoja na chuki.
Kwa hiyo singo maza huwa anakuua huku jamii ikiamini hapo hapo yeye ndie victim wa huo msuguano wenu kwasababu jamii ilishapotea tangu zamani kuwa Men are superior to women kitu ambacho ni kinyume chake.
Wewe angalia mwanamke anakutongoza kwanza kwa posture ya mwili ila ukiconvey meseji ya moyo wako kwake jamii inaamini kuwa mwanaume ndie alianzisha mahusiano how?
These people are super powerful compared to us in many ways.
So hata ukiwakuta wanabeba zege we pita zako hivi usimuonee imani.
Mungu ni mkubwa kuliko kila kitu hapa ulimwenguni na ni kwasababu alimpa kila mtu mizigo kutokana anajua uwezo wake.
Ndio maana akaamua mimba abebe mwanamke kwasababu they are superior to men.
Ila naamini kama maamuzi yangefanywa na mwanaume kuhusu nani abebe mimba kati ya hizi jinsia mbili basi ni wazi kuwa kwaajili ya ujinga na huruma ya mwanaume angetoa maamuzi kuwa mimba abebe mwanaume kulingana na mtizamo hasi kuwa mwanamke ni mnyonge atateseka so anaestahili kuteseka ni mwanaume.
Oya nyie wanaume achaneni na majukumu yasiyowahusu. Tutakufa na kuisha kwenye hii dunia tukiwaachia wanawake majumba wakiendelea kula kodi kisa tu walituonyesha mpasuko wao na sisi tukaingiza tukaingiwa na wivu na kugeuka watumwa,, Oya mazee tunaliwa sana wanetu.. Unajua mwanaume akiwa ndani ya ndoa anapinga sana suala la haki sawa ila akitoka kwenye huo usingizi anaanza kuwaza uwezo mkubwa waliokuwa nao walioleta hiyo ajenda.
Ajenda hiyo ukiitazama kwa juu juu utaona kama inamkandamiza mwanaume but kiundani ni kampeni ya kuwakomboa wanaume waliotokomea utumwani in the name of NDOA. Maanake mwanaume ana uwezo wa kuona ni mzigo kiasi gani alikuwa ametwishwa kwa sifa za kisenge kuwa Mwanaume rijali, shupavu mara Daddie Man Mara husband, mara baba bora Ilimradi kumbembeleza punda akaze mwendo kuufikisha mzigo.
Na ikitokea mzigo umefika salama hakuna anaetaka kukaa karibu na punda tena mpaka pale mzigo mwingine utakapopatikana..
Natafuta Ajira,
Half american,
dronedrake ,
Mahondaw ,
Ivan Stepanov nisaidieni kutag na wengine
Atoto na
ERoni mkuje hapa.