Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume
Mpiga nyeto mmoja uliekosa kazi ya kufanya kwa hilo bando lako.....
 
Hakii nimelia sana maana kupoteza stimu zangu kisa kusoma kisa Cha single mother tena
FB_IMG_1711018684569.jpg
 
Mzee kuna watu wanafaidi; huwa unatembelea kweli ule uzi wa pisi kali?
Ndiyo mkuu huwa napitia ile thread, pisi kali usije jaribu kuweka kambi hata siku moja, utakufa mapema...

Just imagine kila mtu anaona hiyo ni pisi kali + pisi kali yenywewe haina msimamo 😀😀, what next???
 
Huu ni utafiti wangu Mjanja M1 juu ya Vijana wanaooa Single Mother ilhali wao hawana mtoto kabisa.

1) Vijana wanaooa Single Mother mara nyingi huwa hawana muonekano mzuri.

2) Vijana wanaooa single mother huwa hawajiamini.

3) Vijana wanaooa single mother ni vijana ambao hawajawahi kuwa na mademu wazuri.

4) Vijana wanaooa Single Mother ni vijana wasiokuwa na pesa, yani ni vijana masikini.

5) Vijana wanaooa Single Mother ni vijana ambao wanahistoria ya kukataliwa na mademu wanapowatoongoza

6) Vijana wanaooa Single Mother ni vijana wasiojua ulimwengu wa mapenzi ulivyo kwenye dunia ya leo, yani ni washamba wa mapenzi.

7) Vijana wanaooa single mother ni vijana wasio na malengo yanayoeleweka juu ya familia.

NB: HAKUNA MZAZI ANAETAKA MWANAE AMBAE HANA MTOTO AOE SINGLE MOTHER.
Umesema ukweli mtupu ata mimi naona hivyo hivyo kwasababu mwanaume aliye kamilika na akili zake timamu anaanzaje kuoa limwanamke limeshindikana huko lilipo toka
 
Umenikumbusha aisee niliingia kwenye mahusiano na lidem lizuri balaa aisee afu liko so decent nikafurahia kuwa sasa ntaenjoy tendo maana kumbe lilikuaga kwenye ndoa likazinguliwa likaamua ku -move on likaja Dar kuanza life from Mwanza. Nilikua disappointed sana yaani ni hamna kitu kabisa aisee...ni style moja tu ya mende na hapo linakua linasumbua balaa. Aisee nilikua nimeplan nitulie nalo nilipe bata shenzy type nikalipotezea mazima. Ila lizuri acha kabisa na hata ukikaa nalo unaenjoy sana kampani...huwa siishi kulitamani ila nikikumbuka there's nothing to enjoy zaidi ya kuingia cost sina hamu maana nililipenda nikawa nashinda nalo viwanja vya Masaki weekend liujue mji ila hapo tu likanivuruga...eti hata kushika mashine haliwezi...Lise..nge
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jeuri na kibuli, Mwanamke kiburi na jeuri uchumbani ni sawa na mtu aliebanwa na mkojo kwenye basi atajibana utaona umepata wife material anasubiri ndoa achimbe dawa.

Hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia dharau, kiburi na gubu, hayupo mwanaume uyo !! huwa tunaumia sana na kuteseka mno kutenganishwa na watoto wetu tuliowazoea inauma sana ila kama haijakukuta huwezi elewa maumivu ya kutengana na mwanao kisa tu limama halijielewi, unavumilia kisa mtoto ila inafika kipindi una give up.
 
Upo sawa, ndoa ni muungano wa watu wawili wenye jinsia tofauti walioelewana kuishi pamoja kwa ajili ya kuanzisha familia moja ikiwa pamoja na kuzaa watoto. Mmoja wa wanandoa anapokua haeleweki yaani hafuati misingi ya ndoa maisha yao ya familia yanakuwa batili na ni bora wakaachana kwa usalama
 
Jeuli na kibuli, ndoa ni kama pesa haibadili tabia bali huzifichua,

hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia zarau na gubu ayupo mwanaume uyo, uwa tunaumia sana na kuteseka mno kutenganishwa na watoto wetu tuliowazoea inauma, ila kama aijakukuta uwezi nielewa maumivu nayoyazungumzia apa ya kutengana na mwanao kisa tu limama alijielewi unavumilia kisa mtoto ila inafika kipindi una give up.
tupe kisa chako tuelewe mkuu
 
Upo sawa, ndoa ni muungano wa watu wawili wenye jinsia tofauti walioelewana kuishi pamoja kwa ajili ya kuanzisha familia moja ikiwa pamoja na kuzaa watoto. Mmoja wa wanandoa anapokua haeleweki yaani hafuati misingi ya ndoa maisha yao ya familia yanakuwa batili na ni bora wakaachana kwa usalama
Wanawake wanapata presha kubwa sana ya kuolewa kutoka kwa wazazi na marafiki zao walioolewa, hii inafanya hata wale wahuni kujishushe kipindi cha uchumbani utaona umepata wife material, ukishao ndio unajua kama umeuziwa mzigo wenyewe au mbuzi kwenye gunia
 
Nmetoka msibani, mchungaji nae kasema single maza mwanzo mwisho, nkajiuliza hvi ajui kuwa huyu tunae mzika ameacha mke mdogo tu,,,
 
Back
Top Bottom