Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume
Huu ni utafiti wangu Mjanja M1 juu ya Vijana wanaooa Single Mother ilhali wao hawana mtoto kabisa.

1) Vijana wanaooa Single Mother mara nyingi huwa hawana muonekano mzuri.

2) Vijana wanaooa single mother huwa hawajiamini.

3) Vijana wanaooa single mother ni vijana ambao hawajawahi kuwa na mademu wazuri.

4) Vijana wanaooa Single Mother ni vijana wasiokuwa na pesa, yani ni vijana masikini.

5) Vijana wanaooa Single Mother ni vijana ambao wanahistoria ya kukataliwa na mademu wanapowatoongoza

6) Vijana wanaooa Single Mother ni vijana wasiojua ulimwengu wa mapenzi ulivyo kwenye dunia ya leo, yani ni washamba wa mapenzi.

7) Vijana wanaooa single mother ni vijana wasio na malengo yanayoeleweka juu ya familia.

NB: HAKUNA MZAZI ANAETAKA MWANAE AMBAE HANA MTOTO AOE SINGLE MOTHER.
 
Usipokuwa na pesa huwezi pa single Maza maana wanakula hela kama mchwa
 
Mwanamke yoyote ambaye sio bikira, automatic past yake ni mbaya. Kuna mwanaume alilala juu ya kifua chake
Waite single mama waje kwangu, maana mie ndio KIBUZI wao mkuu.

Msiwahukumu saana single mamaz, hawakujitia mimba wenyewe, kuna ambao walizingua wenyewe, kuna ambao sisi wanaume ndio tulizingua..

Point ulizotoa kuna sehemu zinaingia kuna sehemu zinagoma,
Je ni kweli mwanamke kuwa single mama means past yake ilikuwa mbaya, mie nasema hapana, kuna wengine hawana watoto na wana past mbooovu kuliko.
Wapo single mamaz safi tu na wapo viswaswadu pia.
 
Mwanamke yoyote ambaye sio bikira, automatic past yake ni mbaya. Kuna mwanaume alilala juu ya kifua chake
Kwa dunia ya sasa kutokuwa bikra sibabu ya mtu kutokuwa na adabu(utulivu) dunia ya sasa kuoana changamoto, mtu miaka 27 hana mume unategemea upwiru akae nao tu, lakini yote 9 bikra yake ilitolewa na wahuni(wanaume) kama sisi. Kiujumla dunia imeharibika saana bikra si kigezo halisi, wapo wanaolewa bikra na bado changamoto.

Halafu mzee ile nyama mchawi maji tu, haina makombo.

Kama zinaa tuache wote, tusiwanange wakati sisi ndio watongozaji na mabingwa wa kulaghai, we ushawazini wangapi hujawaoa, ushatoa bikra ngapi hujaoa, haujazalisha nje?
 
Single maza wa mtoto mmoja, na mwanamke alie toa mimba tatu yupi ana past mbaya
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya kudumu na Single Mothers.

Hizi ni kati ya sababu zinazofanya wanaume wenzangu kuogopa kuingia kwenye Ndoa na single mothers;
1) Ubinafsi
- Kiukwei kila binadamu duniani ni mbinafsi, na ninaweza kusema ubinafsi sio kosa maana ni moja ya njia ya kujipenda kama binadam. Unapoona Mwanaume anakataa kuoa single mother basi tambua kuwa hataki kukubali fedha zake, au mali zake zitumike na uzao wa mtu mwengine.

Ngoja nitoe mfano, Mwanaume akioa Mwanamke kwa tamaduni zetu ni kwamba Mwanaume ndio mtoaji Mkuu wa familia, na niyeye ndio anaeihudumia familia yake kwa kiwango kikubwa (Fedha).

Wanaume wengi tunaogopa fedha zetu kuchukuliwa kisiri na kumjengea Mtoto wa single mother future yake, Wanaume hatutaki hilo suala tunataka mali zetu zitumiwe na uzao wetu tu na sio nje ya hapo.

2) Amani - sisi wanaume tunaoa kwa kuangalia past ya mwanamke na sio vyenginevyo, tukigundua past ilikuwa mbaya basi ni lazima tutoke nduki.

Kuzaa nje ni moja ya dalili kuwa past ya mwanamke ilikuwa mbaya, na tukigundua hilo huwa tunakosa amani (Peace).

USHAURI
DADA ZANGU NAOMBA MJITUNZE MAANA SISI WANAUME TUKITAKA KUOA HUWA TUNAANGALIA MAISHA YA NYUMA YA MWANAMKE NA SIO VYENGINEVYO.
Wenyewe utakuta wanapeana moyo at "Do not Judge"

Nawaonaga wajinga tu.
 
Kuna singo maza mmoja, nilimpenda nikajua kwa sababu ni mtu mzima, atajua kunilea ipasavyo pamoja na kunipa kampani pale ninapo muhitaji.

Siku ya kwanza tulienda shoo ya kawaida tu, kwa sababu alikuwa bado hajanizoea na mimi sikufurahia sana.

Mara ya pili kukutana, ndipo akaanza kunionyesha maufundi yake; nami nikaanza kukolea kwenye mahusiano, nikajua Equation x amepatikana; akiwa na njaa, namtuma kijana anampelekea mdudu (kiti moto) na chupa mbili tatu anakata kiu.

Mara ya tatu nikaamua kumpelekea shoo ya kibabe, nikawa nambadilishia mastaili ya kupindua pindua huku kule; mara akawa mkali na kuondoka mikononi mwangu na kusema; ''huwezi kunichosha hivyo, huku ukinipindua pindua kama chapati''.

Roho iliniuma sana, na mbaya zaidi nilikuwa bado sijamaliza; akajiandaa akaondoka zake.

Hivi majuzi, akanipigia simu; ''nimemisi mdudu, vipi nije nile?''; nikamjibu hakuna shida we njoo tu.

Baada ya dakika chache akawa amefika, nami nikamwagiza kijana akachukue mdudu; sisi tukabaki tunagusana hapa na pale, ingawa akawa mbishi kunipa tendo.

Baada ya kijana kuleta mdudu akafakamia kwa haraka haraka, huku akinipiga biti, ''nisikuone na mwanamke mwingine, mimi ni mkali sana''

Mimi nikawa namsikiliza ila msimamo wangu naujua; baada ya kumaliza kula, akawa bado hataki kunipa tendo, alipoona namsumbua sana akaamua kuaga na kuondoka.

Baada ya kuondoka nikafuta namba yake nikawa simtafuti; sasa hivi anapiga piga simu, na sipokei.

Nimeamua kumpiga chini, ataletaje busara kwenye tendo!

Kuna singo maza mmoja, nilimpenda nikajua kwa sababu ni mtu mzima, atajua kunilea ipasavyo pamoja na kunipa kampani pale ninapo muhitaji.

Siku ya kwanza tulienda shoo ya kawaida tu, kwa sababu alikuwa bado hajanizoea na mimi sikufurahia sana.

Mara ya pili kukutana, ndipo akaanza kunionyesha maufundi yake; nami nikaanza kukolea kwenye mahusiano, nikajua Equation x amepatikana; akiwa na njaa, namtuma kijana anampelekea mdudu na chupa mbili tatu anakata kiu.

Mara ya tatu nikaamua kumpelekea shoo ya kibabe, nikawa nambadilishia mastaili ya kupindua pindua huku kule; mara akawa mkali na kuondoka mikononi mwangu na kusema; ''huwezi kunichosha hivyo, huku ukinipindua pindua kama chapati''.

Roho iliniuma sana, na mbaya zaidi nilikuwa bado sijamaliza; akajiandaa akaondoka zake.

Hivi majuzi, akanipigia simu; ''nimemisi mdudu, vipi nije nile?''; nikamjibu hakuna shida we njoo tu.

Baada ya dakika chache akawa amefika, nami nikamwagiza kijana akachukue mdudu; sisi tukabaki tunagusana hapa na pale, ingawa akawa mbishi kunipa tendo.

Baada ya kijana kuleta mdudu akafakamia kwa haraka haraka, huku akinipiga biti, ''nisikuone na mwanamke mwingine, mimi ni mkali sana''

Mimi nikawa namsikiliza ila msimamo wangu naujua; baada ya kumaliza kula, akawa bado hataki kunipa tendo, alipoona namsumbua sana akaamua kuaga na kuondoka.

Baada ya kuondoka nikafuta namba yake nikawa simtafuti; sasa hivi anapiga piga simu, na sipokei.

Nimeamua kumpiga chini, ataletaje busara kwenye tendo!

Jf inakusanya takataka za kila aina
 
images (1).jpeg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom