Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ila Ushimen alishindwa hata uchaguzi wa mtaaSiasa inalipa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Ushimen alishindwa hata uchaguzi wa mtaaSiasa inalipa sana
Mpaka hapo ulishachemkaKwenye mkeka wangu Leo nasubiri mechi ya arsenal ashinde nile milioni 1.6 Tzs 😃😃😃😃😃 niombeeni dua wakuu....
Wanasema ukitaka kula, lazima.....Ila Ushimen alishindwa hata uchaguzi wa mtaa
😀😀 Sawa mkuu, ila Kaa ukijua hayo ni mabomu ya asili...Wanaume tunaingia kwenye mahusiano ili kupata faraja katika utafutaji
Mzee wa kilimo cha chai nakuona 😀
Unapenda kulelewa syo?? Ngoja waje masplaya wakuachie naniiii....Kuna singo maza mmoja, nilimpenda nikajua kwa sababu ni mtu mzima, atajua kunilea ipasavyo pamoja na kunipa kampani pale ninapo muhitaji.
Siku ya kwanza tulienda shoo ya kawaida tu, kwa sababu alikuwa bado hajanizoea na mimi sikufurahia sana.
Mara ya pili kukutana, ndipo akaanza kunionyesha maufundi yake; nami nikaanza kukolea kwenye mahusiano, nikajua Equation x amepatikana; akiwa na njaa, namtuma kijana anampelekea mdudu na chupa mbili tatu anakata kiu.
Mara ya tatu nikaamua kumpelekea shoo ya kibabe, nikawa nambadilishia mastaili ya kupindua pindua huku kule; mara akawa mkali na kuondoka mikononi mwangu na kusema; ''huwezi kunichosha hivyo, huku ukinipindua pindua kama chapati''.
Roho iliniuma sana, na mbaya zaidi nilikuwa bado sijamaliza; akajiandaa akaondoka zake.
Hivi majuzi, akanipigia simu; ''nimemisi mdudu, vipi nije nile?''; nikamjibu hakuna shida we njoo tu.
Baada ya dakika chache akawa amefika, nami nikamwagiza kijana akachukue mdudu; sisi tukabaki tunagusana hapa na pale, ingawa akawa mbishi kunipa tendo.
Baada ya kijana kuleta mdudu akafakamia kwa haraka haraka, huku akinipiga biti, ''nisikuone na mwanamke mwingine, mimi ni mkali sana''
Mimi nikawa namsikiliza ila msimamo wangu naujua; baada ya kumaliza kula, akawa bado hataki kunipa tendo, alipoona namsumbua sana akaamua kuaga na kuondoka.
Baada ya kuondoka nikafuta namba yake nikawa simtafuti; sasa hivi anapiga piga simu, na sipokei.
Nimeamua kumpiga chini, ataletaje busara kwenye tendo!
Hichi kizee kililia namiwani yake kapewa kura yake moja na ni house girl wake alimpa🤣🤣🤣 ili asifutwe kaziWanasema ukitaka kula, lazima.....
Sema neno..Aiseeeh!
Mzee kuna watu wanafaidi; huwa unatembelea kweli ule uzi wa pisi kali?😀😀 Sawa mkuu, ila Kaa ukijua hayo ni mabomu ya asili...
Tunalipwa furahaTukatafute mashamba tulime, hii kushabikia timu hii, wengine wanalipwa huku sisi washabiki hatulipwi
Unapenda kulelewa syo?? Ngoja waje masplaya wakuachie naniiii....
Ulimpa kura yako?Ila Ushimen alishindwa hata uchaguzi wa mtaa
Maua umekunywa lubisi mapema hii? 😀Hichi kizee kililia namiwani yake kapewa kura yake na ni housegirl wake alimpa🤣🤣🤣
Mimi sikuwepo huko kwao mie nipo Arusha nawakati anaomba kura siunajua kale kasauti kake kadogo alijikuta yupo mwenyewe jukwANIUlimpa kura yako?
Aje agombee hapo Ar sasaMimi sikuwepo huko kwao mie nipo Arusha nawakati anaomba kura siunajua kale kasauti kake kadogo alijikuta yupo mwenyewe jukwANI
Atalogwa mpaka azidi upofuAje agombee hapo Ar sasa