Mtu kuandika maneno ya Kiswahili ambacho sote tunaamini ni lugha mama yake halafu akaandika vitu kama hivi hata kama ana point hufanya anayesoma kwanza kujiuliza hata umri wake kama anachokiandika ana idea nacho.Jeuli na kibuli, ndoa ni kama pesa haibadili tabia bali huzifichua,
hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia zarau na gubu ayupo mwanaume uyo, uwa tunaumia sana na kuteseka mno kutenganishwa na watoto wetu tuliowazoea inauma, ila kama aijakukuta uwezi nielewa maumivu nayoyazungumzia apa ya kutengana na mwanao kisa tu limama alijielewi unavumilia kisa mtoto ila inafika kipindi una give up.
weka michango yenye tija sio mipashoKumeanza kuchangamka
Ukiambiwa ukweli, sujuduweka michango yenye tija sio mipasho
Bora huyo, kuna mwingine anavunja vitu vyote mfano fenicha zote za ndani, tv, taa na compyuta.Mkikosana kidogo tu yeye ndo anakua juu mara anataka kuvunja mahusiano sijui nn.
Tatizo hiliπ₯ΊGenerally wapi hivyo. Hata mimi nilikuwa mbishi sana. Nikampata mmoja kwanza ni faita, mcha Mungu, mumewe aliachana muda mrefu, mtoto mmoja tu. Nikaona nimepata mke mwenye experience hapa. Aaagh nilivyoanza kumla na akajiona kwamba siwezi kupindua, akaanza visa, mara baba nani hata nikimwambia leo unanirudia, mara yeye marafiki zangu wengi ni wanaume. Pumbaaavu
Ukiweka wewe inatosha. Kwanza tija ndio nini?weka michango yenye tija sio mipasho
I second you..Itapendeza kama tutaamua kuunda group letu la whatsapp kwa wale wote tuliowahi kuoa na kuzaa watoto na masingle maza ili tutengeneze kajamii ketu..Jeuri na kibuli, Mwanamke kiburi na jeuri uchumbani ni sawa na mtu aliebanwa na mkojo kwenye basi atajibana utaona umepata wife material anasubiri ndoa achimbe dawa.
Hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia dharau, kiburi na gubu, hayupo mwanaume uyo !! huwa tunaumia sana na kuteseka mno kutenganishwa na watoto wetu tuliowazoea inauma sana ila kama haijakukuta huwezi elewa maumivu ya kutengana na mwanao kisa tu limama halijielewi, unavumilia kisa mtoto ila inafika kipindi una give up.
Pole sana Mkuu najaribu kuvaa viatu vyako naumia sana.Jeuri na kibuli, Mwanamke kiburi na jeuri uchumbani ni sawa na mtu aliebanwa na mkojo kwenye basi atajibana utaona umepata wife material anasubiri ndoa achimbe dawa.
Hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia dharau, kiburi na gubu, hayupo mwanaume uyo !! huwa tunaumia sana na kuteseka mno kutenganishwa na watoto wetu tuliowazoea inauma sana ila kama haijakukuta huwezi elewa maumivu ya kutengana na mwanao kisa tu limama halijielewi, unavumilia kisa mtoto ila inafika kipindi una give up.
Mkuu time comes and you realize those are just her future friends anaowatumia kama kamba (kukugalagaza) elewa fika hilo neno kwenye mabanoPole sana Mkuu najaribu kuvaa viatu vyako naumia sana.
Sijui kitakachonitenga na watoto wangu ni nini si mamayao wala Ustawi wa jamii
I agree on this. Na mwanaume ambaye hafahamu hii siri ataendelea kuwa mtumwa wa wanawake kwa miaka mingiThese people are super powerful compared to us in many ways.
Nafarijika sana nikiona vijana wenzangu wanatoa akili nje ya matrix na kuuona ukweli. Aluta continuaMkuu time comes and you realize those are just her future friends anaowatumia kama kamba (kukugalagaza) elewa fika hilo neno kwenye mabano
Yaani atakuburuza haswa ushawahi kuona kipigo anachotoa mtu ambae yeye mwenyewe na jamii kwa ujumla inaamini kuwa ni mdhaifu au mnyonge pale anapokuwa amepata bahati ya kumuotea shujaa au mbabe wa mapigano?
Kwanza kadamnasi huwa haiingilii kati kwa kuamini kuwa kile kichapo anachopewa shujaa ni halali maana kinaleta ahueni mioyoni mwao na kuwaponya vidonda vilivyosababishwa na taarifa za ushujaa wa alieotewa, kumbe mwenzao pengine kutafuta stance kateguka nyonga.
Sasa hapo mnyonge atatoa kichapo ambacho kimechanganyikana na hofu ndani yake pamoja na chuki.
Kwa hiyo singo maza huwa anakuua huku jamii ikiamini hapo hapo yeye ndie victim wa huo msuguano wenu kwasababu jamii ilishapotea tangu zamani kuwa Men are superior to women kitu ambacho ni kinyume chake.
Wewe angalia mwanamke anakutongoza kwanza kwa posture ya mwili ila ukiconvey meseji ya moyo wako kwake jamii inaamini kuwa mwanaume ndie alianzisha mahusiano how?
These people are super powerful compared to us in many ways.
So hata ukiwakuta wanabeba zege we pita zako hivi usimuonee imani.
Mungu ni mkubwa kuliko kila kitu hapa ulimwenguni na ni kwasababu alimpa kila mtu mizigo kutokana anajua uwezo wake.
Ndio maana akaamua mimba abebe mwanamke kwasababu they are superior to men.
Ila naamini kama maamuzi yangefanywa na mwanaume kuhusu nani abebe mimba kati ya hizi jinsia mbili basi ni wazi kuwa kwaajili ya ujinga na huruma ya mwanaume angetoa maamuzi kuwa mimba abebe mwanaume kulingana na mtizamo hasi kuwa mwanamke ni mnyonge atateseka so anaestahili kuteseka ni mwanaume.
Oya nyie wanaume achaneni na majukumu yasiyowahusu. Tutakufa na kuisha kwenye hii dunia tukiwaachia wanawake majumba wakiendelea kula kodi kisa tu walituonyesha mpasuko wao na sisi tukaingiza tukaingiwa na wivu na kugeuka watumwa,, Oya mazee tunaliwa sana wanetu.. Unajua mwanaume akiwa ndani ya ndoa anapinga sana suala la haki sawa ila akitoka kwenye huo usingizi anaanza kuwaza uwezo mkubwa waliokuwa nao walioleta hiyo ajenda.
Ajenda hiyo ukiitazama kwa juu juu utaona kama inamkandamiza mwanaume but kiundani ni kampeni ya kuwakomboa wanaume waliotokomea utumwani in the name of NDOA. Maanake mwanaume ana uwezo wa kuona ni mzigo kiasi gani alikuwa ametwishwa kwa sifa za kisenge kuwa Mwanaume rijali, shupavu mara Daddie Man Mara husband, mara baba bora Ilimradi kumbembeleza punda akaze mwendo kuufikisha mzigo.
Na ikitokea mzigo umefika salama hakuna anaetaka kukaa karibu na punda tena mpaka pale mzigo mwingine utakapopatikana..
Natafuta Ajira, Half american, dronedrake , Mahondaw , Ivan Stepanov nisaidieni kutag na wengine Atoto na ERoni mkuje hapa.
Wanasema hivi Vingunguti iko ndani ya Dar na Dar kuna joto ila Vingunguti ina joto kuliko Dar. Ukiwa na akili ya kuielewa hiyo maisha yatasonga tu.Nafarijika sana nikiona vijana wenzangu wanatoa akili nje ya matrix na kuuona ukweli. Aluta continua
Bebe naomba samare.Mkuu time comes and you realize those are just her future friends anaowatumia kama kamba (kukugalagaza) elewa fika hilo neno kwenye mabano
Yaani atakuburuza haswa ushawahi kuona kipigo anachotoa mtu ambae yeye mwenyewe na jamii kwa ujumla inaamini kuwa ni mdhaifu au mnyonge pale anapokuwa amepata bahati ya kumuotea shujaa au mbabe wa mapigano?
Kwanza kadamnasi huwa haiingilii kati kwa kuamini kuwa kile kichapo anachopewa shujaa ni halali maana kinaleta ahueni mioyoni mwao na kuwaponya vidonda vilivyosababishwa na taarifa za ushujaa wa alieotewa, kumbe mwenzao pengine kutafuta stance kateguka nyonga.
Sasa hapo mnyonge atatoa kichapo ambacho kimechanganyikana na hofu ndani yake pamoja na chuki.
Kwa hiyo singo maza huwa anakuua huku jamii ikiamini hapo hapo yeye ndie victim wa huo msuguano wenu kwasababu jamii ilishapotea tangu zamani kuwa Men are superior to women kitu ambacho ni kinyume chake.
Wewe angalia mwanamke anakutongoza kwanza kwa posture ya mwili ila ukiconvey meseji ya moyo wako kwake jamii inaamini kuwa mwanaume ndie alianzisha mahusiano how?
These people are super powerful compared to us in many ways.
So hata ukiwakuta wanabeba zege we pita zako hivi usimuonee imani.
Mungu ni mkubwa kuliko kila kitu hapa ulimwenguni na ni kwasababu alimpa kila mtu mizigo kutokana anajua uwezo wake.
Ndio maana akaamua mimba abebe mwanamke kwasababu they are superior to men.
Ila naamini kama maamuzi yangefanywa na mwanaume kuhusu nani abebe mimba kati ya hizi jinsia mbili basi ni wazi kuwa kwaajili ya ujinga na huruma ya mwanaume angetoa maamuzi kuwa mimba abebe mwanaume kulingana na mtizamo hasi kuwa mwanamke ni mnyonge atateseka so anaestahili kuteseka ni mwanaume.
Oya nyie wanaume achaneni na majukumu yasiyowahusu. Tutakufa na kuisha kwenye hii dunia tukiwaachia wanawake majumba wakiendelea kula kodi kisa tu walituonyesha mpasuko wao na sisi tukaingiza tukaingiwa na wivu na kugeuka watumwa,, Oya mazee tunaliwa sana wanetu.. Unajua mwanaume akiwa ndani ya ndoa anapinga sana suala la haki sawa ila akitoka kwenye huo usingizi anaanza kuwaza uwezo mkubwa waliokuwa nao walioleta hiyo ajenda.
Ajenda hiyo ukiitazama kwa juu juu utaona kama inamkandamiza mwanaume but kiundani ni kampeni ya kuwakomboa wanaume waliotokomea utumwani in the name of NDOA. Maanake mwanaume ana uwezo wa kuona ni mzigo kiasi gani alikuwa ametwishwa kwa sifa za kisenge kuwa Mwanaume rijali, shupavu mara Daddie Man Mara husband, mara baba bora Ilimradi kumbembeleza punda akaze mwendo kuufikisha mzigo.
Na ikitokea mzigo umefika salama hakuna anaetaka kukaa karibu na punda tena mpaka pale mzigo mwingine utakapopatikana..
Natafuta Ajira, Half american, dronedrake , Mahondaw , Ivan Stepanov nisaidieni kutag na wengine Atoto na ERoni mkuje hapa.
π π π π kuna lile moja silipendi kweli wanapenda kulitumia, mwajibikajiMaanake mwanaume ana uwezo wa kuona ni mzigo kiasi gani alikuwa ametwishwa kwa sifa za kisenge kuwa Mwanaume rijali, shupavu mara Daddie Man Mara husband, mara baba bora Ilimradi kumbembeleza punda akaze mwendo kuufikisha mzigo.
Wakae na waliowabebesha mimba sasaKwani hao single mothers huwa wanajibebesha mimba wenyewe?