Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Hao nyoka wamesaidia nini wakati nchi inazidi kuzama kwenye dimbwi la umasikini.
Nyerere aliacha mfumo wa hovyo sana wa uongozi.
Nyerere alileta ujamaa ambao ni mzuri sana manake ule ujamaa ungeendelea nchi yetu Leo ingekuwa communist country look at China is a communist country na wako mbali sana sana sana mabepari waliona kabisa kwamba ujamaa sio jambo jema kwao na ndio maana wakaconive na vijana wakaja na azimio la vijana ambapo walikiwa wanapinga communism na hapo ndipo capitalists walipata nguvu wakaanza kuleta capitalism nchini kwetu na ndiko ilipotufikisha hapa
 
Mwenyewe hapo ni chawa😂
 
Nadhani unamzungumzia J. Edgar Hoover ambaye alikuwa Director wa FBI kutoka mwaka 1935 mpaka mwaka 1972. Hakuwa Director wa CIA.

Ni hayo.

Hayo mengine yanabaki kuwa Conspiracy Theories na tetesi.
 
Kennedy alipigwa risasi nyingi toka angle tofauti..mtu mmoja hawezi fanya hivyo, Oswald jumba bovu kaangushiwa ndiyo maana chapu akauawa na polisi hadharani
Jack Ruby alikuwa Polisi? Jack Ruby alikuwa ni mmiliki wa Nightclub na kuna madai pia alikuwa ni memba wa Chicago Mafia.

Ni Jack Ruby ndie alimuua Lee Harvey Oswald siku mbili baada ya Oswald kukamatwa.

Oswald alikuwa anatolewa na askari kutoka makao makuu ya Polisi huko Dallas, Texas wakimpeleka kwenye Jela ya Mji. Wakati wakimpeleka kwenye gari ndio Jack Ruby akajitokeza na kumpiga risasi. Ilikuwa live katika TV.

 
Kujitokeza kwenye rundo la Askari polisi,kituo Cha polisi!?
 
Maoni tu,hivi vyeo vikubwa vya teua tengua inawapa ulaji tu wateuliwa sababu watalipwa mpaka kufa kwa vile tu amefikia cheo fulani cha uteuzi au madaraka.mfano unawapa askari cheo cha kamishina na ubregedia vyeo ambavyo maslahi yake ni mpaka kifo.
Nilipendaga BM wateule wake walikaa kuanzia miaka 5 hadi 10.
Kuna watu wanataka kuona PM anaondoka lakini wanasahau kuwa ni vyeo vikubwa na wanaoteuliwa maslah yao ni mpaka kifo.
Tuombe tu viongozi wa sasa watumie weredi wao ili wabaki wakitumikia madaraka kwa muda mrefu kuliepusha taifa hili maskini kutotumia gharama kubwa kuhudumia wastaafu wengi.
 
Nashangaa watu wanabwabwaja tu. Yaani intelligence wafanye misheni bila Rais kujua? Hamna kitu kama hicho. Kila kitu lazima kiwe approved.
 
Uongo.
 
Acha uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…