Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Kauli hiyo ni "msiba"na kwa waislamu ukitokea msiba tunasema "innalillah wainaillahi rajuun".mama samia Suluhu iangalie ahera yako kuliko kuliko kumuangalia aliyekuteua kuwa running mate.
 
Mama samia kaambukizwa ushetani mwingi lakini ajue chadema wanayo tiba ya kumkabili shetani tokea CCM yote
Mimi nilishaanza kuichukulia poa lakini Lissu kaniprove wrong...Ni game changer...Huyu Maza na Meko wakae chonjo kwa kweli.
 
Watalamu wa kazi zaidi ya wale waliompiga? Kama hawakuwa watalamu wa hiyo kazi waliwezaje kufyatua risasi na kulenga shabaha risasi zikampata lissu moja kwa moja pasipo kumukosa?.
 
Kwahiyo hao wadeni wake ndio walio ondoa wale walinzi geti kuondoa CCTV camera kuzuia pesa za matibabu kumvua ubunge na kuzuiya wabunge wa chama cha ccm wasiende kumuangalia lisu spital

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wewe hizo CCTV uliziona? Au unajitia kiherehere tu baada ya kudanganywa na huyo mropokaji wenu?
 
Lakini yote ni kampeni2 mana kampeni unatakiwa uwaponde wapinzani na ujisafishe wewe ili wananchi wakupe kura kwahiyo hata sio jambo la kulitolea macho saaaana
 
Akili halisi za ccm zimemrudia bi mkubwa kama si yeye aliyeenda kumuona TL!!!
NDIPOSA TUKIWAAMBIA KUMUAMINI MWANACCM KAULI ZAKE YABIDI UJITOE UFAHAMU!!
 
Target ilikuwa Lissu ashuke kwenye gari sasa Lissu hakushuka,angeweza je kuwa perfect wakati hujui Lissu kakaaje? Ndio maana risasi zilipigwa randomly
Ktk kanununi za upelelezi wewe unafaa kusaidia upelelezi,ulijuaje target ilikuwa ashuke?.ila mama samia pia amekosea,nadhani ni maswala ya kampeni tu! Swala lakushambuliwa lisu nizito sana, sio lakuliongelea kwa maneno mepesi kama hayo ya mh samia.
 
Kumbe jeshi la polisi la ccm sio jeshi la polisi la Tanzania au mimi nimemsikia vibaya.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Tatizo lao kubwa ni kutoshirikisha baadhi ya viungo vya uso na ubongo wazungumzapo!!
 
Swali; nyie ndio mnamiliki vyombo vyote vya usalama na vya sheria, mnsjus kuwa mwenyekiti wa chadema amefanya haya yote. Kwanini mpaka leo hamjamchukulia hatua za kisheria? au yeye yuko juu ya sheria?
Tunasubiri aaibike kwanza kwenye uchaguzi ............tungechukua hatua tungekosa burudani tarehe 28
 
Wangekuwa wako serious wasingemuacha hai.

Ningekuwa mimi ambaye hata sio askari, ningesuri ashuke nje ya gari maana gari ilikuwa imeshapaki. Ninakuwa na view ya mwili mzima.
Ukitaka kumharibu mtu humpigi risasi miguuni. Unammiminia kwenye kiwiliwili, maana ndo safesi eria ni kubwa hivyo lazima utalenga, na ndiko kwenye organs zote muhimu.

Hizo risasi zote wangemmiminia kuanzia kiunoni kuja juu, angekuwa kwishney.

Kwa ufupi, aliyempiga risasi alikuwa na hasira naye binafsi na hakudhamiria kumuua. Alitaka kumuumiza tu.
 
Ndio/hapana.
Maana Sina ushahidi Ila wewe inaonekana unao ushahidi kwahiyo bila shaka unaweza kushare hapa wote tujue.
kwa hiyo mimi pia nina ushahidi wa kwanini hadi muda huu polisi hawajamuhoji Lissu sio? EMPTY SET.
 
Wewe hizo CCTV uliziona? Au unajitia kiherehere tu baada ya kudanganywa na huyo mropokaji wenu?
Hukuwahi kusikia polisi waliposema wanazifanyia kazi videos za CCTV camera na baadaye ndipo ikaja hiyo ya kwamba hakukua na CCTV camera?? Inawezekana wewe unayo hii ya pili tu.
 
Umeongea point ya msingi sana hapa, ilithibitika pasipo na shaka kwamba silaha iliyotumika kushambulia Lissu ilikuwa ya kivita ambayo kwa hakika mmiliki wake ni serikali ya ccm, kwa hiyo walioshambulia walikuwa askari wa serikali ya ccm, swala la kwamba hakuwa na shabaha analijua yeye, huenda alilazimishwa kwenda kumuua Lissu na haikuwa utashi wake na akaamua kufyatua marisasi ovyo ili yaishe kwenye magazine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…