Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika



=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.

Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.

''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".

Kauli hiyo ni "msiba"na kwa waislamu ukitokea msiba tunasema "innalillah wainaillahi rajuun".mama samia Suluhu iangalie ahera yako kuliko kuliko kumuangalia aliyekuteua kuwa running mate.
 
Mama samia kaambukizwa ushetani mwingi lakini ajue chadema wanayo tiba ya kumkabili shetani tokea CCM yote
Mimi nilishaanza kuichukulia poa lakini Lissu kaniprove wrong...Ni game changer...Huyu Maza na Meko wakae chonjo kwa kweli.
 
Mama Samia Yuko sahihi, hata Lissu hajasema kuwa police ndio waliomshambulia na anasema wazi alimwona aliyemshambulia na anamfahamu, anacholaumu kwanini police hawamkamati?

Inawezekana aliyeenda kumshambulia hakupaswa kwenda Ni keherehere chake tu, au aliyepaswa kwenda alipuuza mjinga mwingine akaamua kujichukulia amri mkononi.

Anachosema mama kuwa ile Ni dhambi ya mmoja na sio ya chama au serikali na ingelikuwa ya chama au ya serikali wangetumwa wataalamu wa hiyo kazi
Watalamu wa kazi zaidi ya wale waliompiga? Kama hawakuwa watalamu wa hiyo kazi waliwezaje kufyatua risasi na kulenga shabaha risasi zikampata lissu moja kwa moja pasipo kumukosa?.
 
Kwahiyo hao wadeni wake ndio walio ondoa wale walinzi geti kuondoa CCTV camera kuzuia pesa za matibabu kumvua ubunge na kuzuiya wabunge wa chama cha ccm wasiende kumuangalia lisu spital

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wewe hizo CCTV uliziona? Au unajitia kiherehere tu baada ya kudanganywa na huyo mropokaji wenu?
 
Lakini yote ni kampeni2 mana kampeni unatakiwa uwaponde wapinzani na ujisafishe wewe ili wananchi wakupe kura kwahiyo hata sio jambo la kulitolea macho saaaana
 


=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.

Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.

''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".

Akili halisi za ccm zimemrudia bi mkubwa kama si yeye aliyeenda kumuona TL!!!
NDIPOSA TUKIWAAMBIA KUMUAMINI MWANACCM KAULI ZAKE YABIDI UJITOE UFAHAMU!!
 
Target ilikuwa Lissu ashuke kwenye gari sasa Lissu hakushuka,angeweza je kuwa perfect wakati hujui Lissu kakaaje? Ndio maana risasi zilipigwa randomly
Ktk kanununi za upelelezi wewe unafaa kusaidia upelelezi,ulijuaje target ilikuwa ashuke?.ila mama samia pia amekosea,nadhani ni maswala ya kampeni tu! Swala lakushambuliwa lisu nizito sana, sio lakuliongelea kwa maneno mepesi kama hayo ya mh samia.
 
Kumbe jeshi la polisi la ccm sio jeshi la polisi la Tanzania au mimi nimemsikia vibaya.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Tatizo lao kubwa ni kutoshirikisha baadhi ya viungo vya uso na ubongo wazungumzapo!!
 
Swali; nyie ndio mnamiliki vyombo vyote vya usalama na vya sheria, mnsjus kuwa mwenyekiti wa chadema amefanya haya yote. Kwanini mpaka leo hamjamchukulia hatua za kisheria? au yeye yuko juu ya sheria?
Tunasubiri aaibike kwanza kwenye uchaguzi ............tungechukua hatua tungekosa burudani tarehe 28
 
Tumwambie tu huyu mke wa Coplo wa zimamoto kuwa wauaji waliowatuma kumuua Lissu hawakumkosa, walimpata, walimimina zaidi ya 30, na zote zililenga pale pale anapokaa Lissu kwa upande wa ndani. Hongera huyo askari kaiva kwenye shabaha.
Mliwatuma wakatekeleza maelekezo.
Ila hata siku moja shetani hajawahi kumzidi Mungu!
Nilikuwa nakuona ww mama mstaarab umekaa kimya haufungamani na hao wenzako, kumbe ulikuwa umeficha makucha, Lissu mliyomtwanga marisasi ya kutosha Mungu akasema no, huyu mtu ni mpango wangu, ni lazima aishi! Mna roho mbaya sana ninyi watu, sijui mwanamke gan ww, hukuzaa??
Wangekuwa wako serious wasingemuacha hai.

Ningekuwa mimi ambaye hata sio askari, ningesuri ashuke nje ya gari maana gari ilikuwa imeshapaki. Ninakuwa na view ya mwili mzima.
Ukitaka kumharibu mtu humpigi risasi miguuni. Unammiminia kwenye kiwiliwili, maana ndo safesi eria ni kubwa hivyo lazima utalenga, na ndiko kwenye organs zote muhimu.

Hizo risasi zote wangemmiminia kuanzia kiunoni kuja juu, angekuwa kwishney.

Kwa ufupi, aliyempiga risasi alikuwa na hasira naye binafsi na hakudhamiria kumuua. Alitaka kumuumiza tu.
 
Ndio/hapana.
Maana Sina ushahidi Ila wewe inaonekana unao ushahidi kwahiyo bila shaka unaweza kushare hapa wote tujue.
kwa hiyo mimi pia nina ushahidi wa kwanini hadi muda huu polisi hawajamuhoji Lissu sio? EMPTY SET.
 
Wewe hizo CCTV uliziona? Au unajitia kiherehere tu baada ya kudanganywa na huyo mropokaji wenu?
Hukuwahi kusikia polisi waliposema wanazifanyia kazi videos za CCTV camera na baadaye ndipo ikaja hiyo ya kwamba hakukua na CCTV camera?? Inawezekana wewe unayo hii ya pili tu.
 
Watu walioshiriki kamwe utetezi wao hauwezi ukawa na akili, wanapojaribu kujitetea ndio wanazidi kuharibu kabisa kama huyu mama anayejaribu kutuaminisha uwongo wake.

Huwezi ukafyatua risasi bila kupitia mafunzo, huwezi ukalenga shabaha bila kupitia mafunzo, silaha iliotumika kwenye mashambulizi ni ya kivita wamiliki wake wakiwa ni serekali kupitia vyombo vya dola.
Umeongea point ya msingi sana hapa, ilithibitika pasipo na shaka kwamba silaha iliyotumika kushambulia Lissu ilikuwa ya kivita ambayo kwa hakika mmiliki wake ni serikali ya ccm, kwa hiyo walioshambulia walikuwa askari wa serikali ya ccm, swala la kwamba hakuwa na shabaha analijua yeye, huenda alilazimishwa kwenda kumuua Lissu na haikuwa utashi wake na akaamua kufyatua marisasi ovyo ili yaishe kwenye magazine
 
Back
Top Bottom