Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

CDM nako wamejaa wababaishajii, Wapigaji bora tumpe Mzee wa Ubwabwa!!
Vyovyote itakavyokuwa,msingi wangu hapa hatuwezi kuwa HURU,kupata HAKI,kuwa na UTU na maendeleo ya watu kupitia hicho chama.Marehemu Horace Kolimba alisha weka wazi kuwa CCM imepoteza dira,mwelekeo,na haina sera.Ndiyo maana pamoja na vyama vya upinzani kuzuiliwa kufanya siasa kipindi cha miaka mitano bado wanahitaji mbeleko ya NECna vyombo vya dola.Hawajajipanga ,hawajipangi na hawatajipanga kwa sababu wameshapoteza hayo aliyoyasema hayati Kolimba.
 
=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.

Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.

''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".

Language is a source of misunderstandings, it ia also not healthy that public figures t do not keep their words
 
mambo ya kipumbavu sana huyi bibi kaongea....ndo kufirisika kwenyewe..
 
Lakini mama kasema kweli risasi 16 kwa ashari mwenye mafunzo ni ngumu aisee...
Hapo ndipo maajabu ya mwenyezi Mungu yanapothibitika kwa akili za kibinadamu haiwezekani kabisa kuwa mtu apigwe risasi 16 halafu aendelee kuishi tena kapigwa na mtu aliyejifunza na aliyefunzu kulenga shabaha.
 
Alimaanisha Green Guard au Hawa Jeshi la Police Tanzania ambao hawana chama chochote?
Mama Samia Yuko sahihi, hata Lissu hajasema kuwa police ndio waliomshambulia na anasema wazi alimwona aliyemshambulia na anamfahamu, anacholaumu kwanini police hawamkamati?

Inawezekana aliyeenda kumshambulia hakupaswa kwenda Ni keherehere chake tu, au aliyepaswa kwenda alipuuza mjinga mwingine akaamua kujichukulia amri mkononi.

Anachosema mama kuwa ile Ni dhambi ya mmoja na sio ya chama au serikali na ingelikuwa ya chama au ya serikali wangetumwa wataalamu wa hiyo kazi
 
Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
Tundu Lissu alifyatuliwa risasi na askari wenu wa ccm walioagizwa na magufuri huku wakiongozwa na makonda, swala hapa sio kwamba risasi zilimkosa, swala hapa ni kwamba aliponaje ??!!, ni MUNGU pekee ndie anaejua, huyo mama yenu ndio maana saa nyingine mimi humuona kama hazimtoshi kichwani mwake ama la huenda huwa anavuta bhangi, maneno hayo sijui yanalenga nini hasa
 
Huyu Mama tulitegemea angesema yaliyopita si ndwele

Inamaana huyu Mb ni muongo

=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.

Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.

''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".
Asante mama kwakuliweka hili vizuri.
 
Wenye akili wanalijua hilo kitambo. Hata kruta tu wa jeshi hawezi kukosa bull (target ambayo huwa ni kichwa au kifua upande wa kushoto kwenye moyo) kwenye close range kama ilivyokuwa!

Ndiyo maana dreva wake ambaye ndiye anajua siri yote ya tukio hilo wamemuficha.
 
Hapo kasema ukweli mtupu Maana yeye ndo miongoni mwa maboss wa Askari wao wa CCM hivyo anawajua vizuri weredi wao. Kwahiyo Mimi naamini alichokisema na ndo uhalisia.

Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.
Ben sanane aliutaka uenyekit wa Chama akapotea mpaka leo.
Tundu lissu aliutaka uenyekiti wa Chama akapigwa na vitu vinavyosadikika ni risasi.
F. SUMAYE aliutaka uenyekiti wa Chama akaambiwa kuwa Sumu haionjwi kwa usalama wa maisha yake akaamua kujiweka pembeni na kuchomoka kwenye himaya za mtia Sumu.

Swali; kwanini Kila anaeutaka uenyekiti wa Chama CDM anapatwa na matatizo Ni ipi Siri iliyopo Hapo nyuma?

Je nikweli Mbowe Ni kibaraka wa serikali kwamba hawezi kutoka kwenye kile kiti kwa masilahi ya Taifa?
Umemsahau na chacha wangwe.
 
Hapo ndipo maajabu ya mwenyezi Mungu yanapothibitika kwa akili za kibinadamu haiwezekani kabisa kuwa mtu apigwe risasi 16 halafu aendelee kuishi tena kapigwa na mtu aliyejifunza na aliyefunzu kulenga shabaha.
Maajabu gani hayo,toka lini risasi ya mguuni ikauwa, ingekua kapigwa za kichwa au za tumbo ndiyo tungesema hayo ndiyo maajabu!!
 
=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.

Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.

''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".

mama kaongea vizuri , kweli askari wetu wameiva na hakuna anaepinga , ila tatizo ni kwamba mpaka sasa watanzania wanajiuliza ,hao waliofanya ushetani ni wakina nani? hiki ndo kitendawili ambacho hakija pata wa kukitegua , na bado mama kakiacha kwenye mabano makubwa
 
Hapo ndipo maajabu ya mwenyezi Mungu yanapothibitika kwa akili za kibinadamu haiwezekani kabisa kuwa mtu apigwe risasi 16 halafu aendelee kuishi tena kapigwa na mtu aliyejifunza na aliyefunzu kulenga shabaha.
Lakini tuliona maganda ya risasi pale Lissu aliposhambuliwa, inakuwaje watu mnashindwa kuamini kwamba hakipigwa risasi hizo zote, ganda la risasi haliwezi kupatikana kabla risasi haijafyatuliwa kutoka kwenye bunduki, amepigwa risasi na amepona, kazi inabaki kwa waliompiga.
 
Watu walioshiriki kamwe utetezi wao hauwezi ukawa na akili, wanapojaribu kujitetea ndio wanazidi kuharibu kabisa kama huyu mama anayejaribu kutuaminisha uwongo wake.

Huwezi ukafyatua risasi bila kupitia mafunzo, huwezi ukalenga shabaha bila kupitia mafunzo, silaha iliotumika kwenye mashambulizi ni ya kivita wamiliki wake wakiwa ni serekali kupitia vyombo vya dola.
 
kwa hiyo Mbowe ndo aliyeng'oa CCTV camera na kuondoa walinzi?
Ndio/hapana.
Maana Sina ushahidi Ila wewe inaonekana unao ushahidi kwahiyo bila shaka unaweza kushare hapa wote tujue.
 
Back
Top Bottom