Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.

Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.

''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".

Ndiyo maana tunahitaji serikali inayozingitia Uhuru,Haki,UTU na Maendelea ya watu.Na serikali hiyo haiwezi kutoka CCM.
 
Huyu mama hafai kabisa kuwa kiongozi ni aibu mno!
 
Alimaanisha Green Guard au Hawa Jeshi la Police Tanzania ambao hawana chama chochote?
 
Mnapoomba kura hebu kuweni makini, msije kujikuta mmeingia kwenye hatia zisizo wahusu.
Maswali yangu kwako mama Samia Suluhu .
1.Kwa mujibu wa sheria ipi jeshi au askari wa Tanzania ni mali ya CCM?
2. Kama askari wa Tanzania (CCM) ana weledi wa hali ya juu katika shabaha kama ulivyojinasibu, je weledi huo haujajikita pia kwenye nyanja nyingine za kiusalama kuweza kuwapata wasiojulikana?.
3. Kama askari wa CCM (Tanzania) ana weledi wa hali ya juu kwenye shabaha ilikuwaje wahuni(wasiojulikana) waliweza kutekeleza shambulio pale area D Dodoma mahali ambapo wanalinda 24/7 kisha kutoroka bila kutiwa nguvuni?.
4. Je, ni askari wa CCM waliotekeleza unyama zidi ya Lissu na baada ya kufeli mission wamewajibishwa?.
Mama heshima yako ni kubwa, ilinde.
View attachment 1559187
Sijawahi kumsikia huyu mama anaongea mambo ya hovyo tokea apate hayo madaraka.Sijuwi nini kimemsibu sasa.Mwenyezi Mungu amsaidie asisame kama alivyo toka awali ili heshima yake iendelee kubaki kama ilivyokuwepo.
 
Swali; nyie ndio mnamiliki vyombo vyote vya usalama na vya sheria, mnsjus kuwa mwenyekiti wa chadema amefanya haya yote. Kwanini mpaka leo hamjamchukulia hatua za kisheria? au yeye yuko juu ya sheria?
Si amekuambia ni mwenzao.
 
Ndiyo maana tunahitaji serikali inayozingitia Uhuru,Haki,UTU na Maendelea ya watu.Na serikali hiyo haiwezi kutoka CCM.
CDM nako wamejaa wababaishajii, Wapigaji bora tumpe Mzee wa Ubwabwa!!
 
Serikali ya ccm si ipo lumumba na inaongozwa na mwenyekiti tofuti na ilivyo kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tz
Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania iko chini ya chama gani?
 
Ndio ijulikane yupo Mungu anayeishi,awazaye tofauti na mawazo ya wanadamu!!!!
Mamaaaaaaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom