Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Huyo alitandikwa na wahuni tu tena amateurs.

Hiyo Idadi ya risasi hata kama zingekuwa zinarushwa kwa mkono tu na mtu professional kwa mazingira tunayoambiwa ,mngeshazika mtu.

Tujipe muda tu, ukweli utakuja kufahamika mbele ya safari.
 
Alichokisema mama Samia ni kitu cha ajabu na hatari kwa taifa.
Mama Samia anapaswa kujua askari yoyote aliyefunzwa vyema hapaswi kufanya haya.
1/Kupiga risasi hata moja pasipo sababu.
2/Kukusudia kumuua mtu yoyote.
3/Kumdhulu mtu yoyote pasipo sababu.


Sasa, Mama Samia embu atuambue, hao askari wa serikali ya CCM wangewezaje kumimina hizo risasi sizizozidi tatu dhidi ya mtu kama Tundu Lissu, ambaye hakuwa na kosa lolote wala hakuwa na hatia yoyote.
Kamjibu anayesema kapigwa risasi na polisi, naimani mwenyewe kaelewa na wahusika wenzake
 
Tumwambie tu huyu mke wa Coplo wa zimamoto kuwa wauaji waliowatuma kumuua Lissu hawakumkosa, walimpata, walimimina zaidi ya 30, na zote zililenga pale pale anapokaa Lissu kwa upande wa ndani. Hongera huyo askari kaiva kwenye shabaha.
Mliwatuma wakatekeleza maelekezo.
Ila hata siku moja shetani hajawahi kumzidi Mungu!
Nilikuwa nakuona ww mama mstaarab umekaa kimya haufungamani na hao wenzako, kumbe ulikuwa umeficha makucha, Lissu mliyomtwanga marisasi ya kutosha Mungu akasema no, huyu mtu ni mpango wangu, ni lazima aishi! Mna roho mbaya sana ninyi watu, sijui mwanamke gan ww, hukuzaa??


Yaani tumbo limeuma...jamani kumbe huyu mama mchawi hivyo? Nilikua namheshimu Sana Ila nataman Mungu amchukue tu
 
FRubbish ,,sasa kama sio wao si waruhusu
uchunguzi huru kutoka mataifa ya nje tujue . Wao wameshindwa kufanya uchunguz wowote na kutuambia ni kina nan wahusika .
Kwann wanaweweseka sana na hili tukio ,
Nani amekwambia hawachunguzi kwani jarada limefungwa? Mrudisheni dereva aje ayatambue magari yale yaliyokamatwa. Uchunguzi unaanza na maelezo ya watu wazima muhimu waliokuwepo eneo la tukio. Hata ao wachunguzi wa nje wataanza na hao.
 
Mnapoomba kura hebu kuweni makini, msije kujikuta mmeingia kwenye hatia zisizo wahusu.
Maswali yangu kwako mama Samia Suluhu .
1.Kwa mujibu wa sheria ipi jeshi au askari wa Tanzania ni mali ya CCM?
2. Kama askari wa Tanzania (CCM) ana weledi wa hali ya juu katika shabaha kama ulivyojinasibu, je weledi huo haujajikita pia kwenye nyanja nyingine za kiusalama kuweza kuwapata wasiojulikana?.
3. Kama askari wa CCM (Tanzania) ana weledi wa hali ya juu kwenye shabaha ilikuwaje wahuni(wasiojulikana) waliweza kutekeleza shambulio pale area D Dodoma mahali ambapo wanalinda 24/7 kisha kutoroka bila kutiwa nguvuni?.
4. Je, ni askari wa CCM waliotekeleza unyama zidi ya Lissu na baada ya kufeli mission wamewajibishwa?.
Mama heshima yako ni kubwa, ilinde.
IMG_20200905_104326_565.JPG
 
Au anamaanisha watakuwa wale ' jeshi la akiba' wale ambao Tundu Lissu aliwavurusha kwenye kampeni?
 
Kwanza inaonekana tu ilikuwa 'rogue operation', kikundi ndani ya sirikali kikiwahusisha wenye nguvu. Sidhani kama ilikuwa proper operation kutoka taasisi yetu, ndio maana ikafeli. Kuna njia za kummaliza mtu bila kuleta taharuki yeyote, wana mbinu nyingi za kutekeleza.

Hata wao nadhani baadhi hawajapendezwa na tukio lile kwa sababu linawachafua pia linaleta chuki, hasira na visasi zaidi na kuhatarisha mustakabali wa usalama wa nchi yetu. Hata yeye Mama yetu hakupendezwa ndio maana alienda kumtembelea Lissu hospitali wakati wana sisiemu wengine wakiogopa

Mama yetu tumemheshimu sana na kumuona mtu mstaarabu, mwenye huruma na upendo. Kauli aliyotoa leo sio sahihi, na inahatatisha umoja na mshikamano wetu. Kwamba wao sisiemu wana askari wai na huwa wanawatuma kuuwa? Je kauli hii ni muafaka kuelekea uchaguzi? Waelekezeni mambo ya kuongea jukwaani.
 
Huyu mama hapo kakosea.
Huyu mama nimemshangaa sana , lakini alishawahi kutema pumba bunge la katiba akisema yeye hajaufyata Jusa ndio kaufyata , watu wa Zanzibar wanaelewa hii misemo , Ni hivi hi clip itunzwe kwa matumizi ya ICC The Hague naona wateja wanaongezeka , Hii ni uthibitisho kuwa CCM wamezidiwa hawana sera , wamejipanga kuanzisha fujo ndio maana wanaanzisha Mara majeshi ya akiba kinyume cha sheria Inayotaka jeshi lianzishe wakati wa Vita sio wakati wa uchaguzi .
Screenshot_20200903-205934.png
 
Mama na yy mizimu na mapepo ya chatto yamemkolea tayari ...lkn hii Ni dalili za kuwa sasa hawana Cha kuwaambia watanzania kuwa mitano wamefanya nn na watafanya nn mitano mingine ...yaani inakoelekea watawataja kwa majina waliofanya lile tukio kuwa ndo wamesababisha kuwa kwenye wkt mgumu kipindi hiki ...inaonekana anawalaumu kupiga lisasi bila mpangilio , kwahiyo hao watu walikodiwa kufanya lile tukio kutoka nje ya nchi ...na bado mmoja wao ataropoka tu
 
Back
Top Bottom