naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Mkuu wanaelewa sana Ila wanajitoa fahamuHoja nzito Sana hii, lakini kwakua Chadema huwa wanataka kusikia Yale ambayo wanataka kuyasikia hawataamini.
Ipo siku ukweli utajulikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wanaelewa sana Ila wanajitoa fahamuHoja nzito Sana hii, lakini kwakua Chadema huwa wanataka kusikia Yale ambayo wanataka kuyasikia hawataamini.
Ipo siku ukweli utajulikana.
Lakini mama kasema kweli risasi 16 kwa ashari mwenye mafunzo ni ngumu aisee...
Nilisikitiswa pia kwa tukio lile😔, binti mdogo kukatishwa maisha yake ghafla.Ila katika Hili wakulaumiwa sio police pekee,, hata wale waliosababisha police kuingilia Kati..!Majambazi kama Akwilina! Tafakari kabla haujaandika.
La jamhuri ya muungano wa Tanzania.Lete jibu tuende sawa
Chenga kusema ukweli?Mama kumbe nae chenga tu
Uovu haulipi na siku zote uovu hunuka hata uupake marashi.lndiyo maana kina Samia na Magufuli haliwatoki vinywani mwao maana uovu hii kila siku unawafuata kwa harufu kali, damu walizozimwaga bila hatia kila siku zinawafuata zikiwalilia.Huyo Mungu wako na asikitike kwa kuwa na kiumbe kisichokuwa na ufahamu timilifu na kinachoandika kitu kisichojua.. n.b mi nipo CHAUMA!.
Rubbish ,,sasa kama sio wao si waruhusuHuo ndio ukweli, yaani serikali itake kumumaliza mtu kwa kutuma watu wa kumwaga risasi 30 bado mlengwa zimpate 16 tena mguuni. Haya amenusurika bado anapelekwa Government hospital anafanyiwa operation na huduma ya kwanza mpaka na kiongozi muandamizi wa serikali, bado anatoka salama? Tuhuma za ajabu sana hizi.
[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]Hapo kasema ukweli mtupu Maana yeye ndo miongoni mwa maboss wa Askari wao wa CCM hivyo anawajua vizuri weredi wao. Kwahiyo Mimi naamini alichokisema na ndo uhalisia.
Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.
Ben sanane aliutaka uenyekit wa Chama akapotea mpaka leo.
Tundu lissu aliutaka uenyekiti wa Chama akapigwa na vitu vinavyosadikika ni risasi.
F. SUMAYE aliutaka uenyekiti wa Chama akaambiwa kuwa Sumu haionjwi kwa usalama wa maisha yake akaamua kujiweka pembeni na kuchomoka kwenye himaya za mtia Sumu.
Swali; kwanini Kila anaeutaka uenyekiti wa Chama CDM anapatwa na matatizo Ni ipi Siri iliyopo Hapo nyuma?
Je nikweli Mbowe Ni kibaraka wa serikali kwamba hawezi kutoka kwenye kile kiti kwa masilahi ya Taifa?
[emoji106][emoji106]Na mashudu
Huu ni unyama ambao hatupaswi kuufurahia wala kutetea hata kidogo.Huyo Mungu wako na asikitike kwa kuwa na kiumbe kisichokuwa na ufahamu timilifu na kinachoandika kitu kisichojua.. n.b mi nipo CHAUMA!.
=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.
''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".
Huyu mama Kuna kitu amekionja
Tumwambie tu huyu mke wa Coplo wa zimamoto kuwa wauaji waliowatuma kumuua Lissu hawakumkosa, walimpata, walimimina zaidi ya 30, na zote zililenga pale pale anapokaa Lissu kwa upande wa ndani. Hongera huyo askari kaiva kwenye shabaha.
Mliwatuma wakatekeleza maelekezo.
Ila hata siku moja shetani hajawahi kumzidi Mungu!
Nilikuwa nakuona ww mama mstaarab umekaa kimya haufungamani na hao wenzako, kumbe ulikuwa umeficha makucha, Lissu mliyomtwanga marisasi ya kutosha Mungu akasema no, huyu mtu ni mpango wangu, ni lazima aishi! Mna roho mbaya sana ninyi watu, sijui mwanamke gan ww, hukuzaa??
Please Mama Samia tulikuona upo neutral una roho ya kimama ya huruma! Maneno hayo yanatoka kweli kinywani mwako????