Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Mungu huonyesha ukuu wake katika nia mbalimbali. Tuombe tu uzima, ukuee wa Mungu tutauona siku moja.
 
Uyu mama ameongea kweli hao waliompga risasi sio Askari wenye mafunzo na sidhani Kama wametumwa na serikali Askari mwenye Nia ya kuua mtu hawezi kukupga risasi 16 akakukosa
 
Namshauri Lissu asimjibu lolote huyu mama kabla hajamuuliza lolote,amuulize hivi yuko tayari amejipanga? Akijibu ndiyo,basi Lissu na aanze kumjibu Mama yetu mpendwa Samia Suluhu.
 
Namshauri Lissu asimjibu lolote huyu mama kabla hajamuuliza lolote,amuulize hivi yuko tayari amejipanga? Akijibu ndiyo,basi Lissu na aanze kumjibu Mama yetu mpendwa Samia Suluhu.
Lissu amsahe tu bure huyu Mama. huyu Mama anafahamika kuwa ni Muungwana sana. sidhani kama hii ni akili yake timamu. Lissu amwache tu, mama ulimi umeteleza au pengine ni mashinikizo tu huwezi jua.
 
Lakini mama kasema kweli risasi 16 kwa ashari mwenye mafunzo ni ngumu aisee...
Tatizo siyo idadi ya risasi wala shabaha, HOJA ni je unalenga eneo lipi la mwili? Unaweza mpiga mtu risasi hata 100 kwenye kidole....
 
Mzee Mangula alipata jambo lake kutoka kwa watu wa kamati ya maadili...
 
Wampe bongo movies atembee nao ili ajaze watu kama mwenzake yeye kapewa wasanii.
 
Lissu amsahe tu bure huyu Mama. huyu Mama anafahamika kuwa ni Muungwana sana. sidhani kama hii ni akili yake timamu. Lissu amwache tu, mama ulimi umeteleza au pengine ni mashinikizo tu huwezi jua.
Ukiwa ccm utakuwa vipi muungwana
 
Mbona ipo wazi waliompiga lissu risasi ni kikundi fulani kilichomo ndani ya chadema na ishu yote ni kufifisha nguvu ya Lissu dhidi ya Mwenyekiti Mbowe...
kwa hiyo ukiwa chadema unakuwa na kinga ya kuua binadamu wenzako, hukamatwi wala hushtakiwi??!!!
 
Zipo hoja ajibu huyo mama.
:Kwann walinzi waliondolewa getini,
:Nani aliyeondoa ccctv
:Kwann awataki wachunguzi toka nje
:Kwann walimnyima matibabu
:Kwann walikataza watu wasimchangie damu hadi akachangiwa na wakenya.
:Kwann walizuia asiombewe
:Kwann walimfukuza ubunge
:Kwann wabunge wa ccm walipigwa biti kwenda kumuona.
:Why alikwenda Nairobi kumuona mtu aliyejipiga risasi.

Wakijibu hoja hizi ni kweli askari sniper huwa akosei.
 
Subiri mkuu wa malaika afunge mitandao toka huko....
 
Uyu mama ameongea kweli hao waliompga risasi sio Askari wenye mafunzo na sidhani Kama wametumwa na serikali Askari mwenye Nia ya kuua mtu hawezi kukupga risasi 16 akakukosa
Sasa ni wakati wake wa kuhakiki ni askari gani walifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…