Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 30 zikamuingia mwilini risasi 16. Hakufa.
Mwaka jana kwenye kampeni ilisemwa kwamba waliompiga Tundu Lissu hawawezi kuwa askari wa serikali
Jana simu zimeonyesha askari wamepiga zaidi ya risasi tatu, nyingi tu
Je wataadhibiwa wale askari
Kuna watu hum wajuaji Kama kwamba hawajui kitu kikiwa kwenye mwendo kukipata Ni kazi all in all hongra polis Tanzania mlijitoa kwa ajili ya watanzaniaKwa wanaojua silaha na umbali aliokuwepo huku akiwa anatembea target inakuwa ngumu sana
Ila kwa kuwa humu kila mtu mjuaji sawa endeleeni kuwatukana police
Utakuta mtu hata kuona bunduki live, hajawahi kuona, ila anavyo jua kuchambua Yale mapigano.Kwa wanaojua silaha na umbali aliokuwepo huku akiwa anatembea target inakuwa ngumu sana
Ila kwa kuwa humu kila mtu mjuaji sawa endeleeni kuwatukana police
Umbali gani unaouongelea? Kulikua na umbali gani kutoka upande mmoja wa barabara hadi mwingine?Kwa wanaojua silaha na umbali aliokuwepo huku akiwa anatembea target inakuwa ngumu sana
Ila kwa kuwa humu kila mtu mjuaji sawa endeleeni kuwatukana police
Walikua Wanapiga maiti ya motoMbona alipigwa nyingi tu za mat.ak.o?
Tactical team hakuna yaani lile jamaa lina kitambi hata kana unaona machoko mchuzi uki target kitambi hukikosiUmbali gani unaouongelea? Kulikua na umbali gani kutoka upande mmoja wa barabara hadi mwingine?
Hivi unajua kuwa jamaa hakujibanza sehemu moja? Alitoka ubalozi wa ufaransa hadi mataa pale stanbic na kurudi tena bila ya kujificha.
Unajua kutoka eneo la tukio hadi kituo cha Polisi cha Selandar ni umbali gani?
Kutoka eneo la tukio hadi kituo cha Polisi Oyesterbay ni umbali gani?
Kuna kipindi jamaa ali take cover pale ubalozi wa Ufaransa, polisi wakaenda na gari ya kuzuia risasi lakini wakaishia kukimbia bila hata ku make any attempt
Tatizo lililosababisha wakose lundo la risasi ni upepo mkali toka baharini ulosababishwa na mawimbi makubwa ya bahari, pia kulikuwa na milio ya magari yaliyokuwa yakipita kasi kukwepa risasi.Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 30 zikamuingia mwilini risasi 16. Hakufa.
Mwaka jana kwenye kampeni ilisemwa kwamba waliompiga Tundu Lissu hawawezi kuwa askari wa serikali
Jana simu zimeonyesha askari wamepiga zaidi ya risasi tatu, nyingi tu
Je wataadhibiwa wale askari
Ulipotamka kuwa askari wa Tanzania hawezi kukosa shabaha na kupoteza risasi thelathini na nne ulimaanisha jambo.
Jambo lenyewe ni kuwa unamfahamu aliyempiga Lissu risasi.
Leo hii wewe ni mkuu wa kaya. Tunahitaji utuambia nani huyo ambae hana shabaha na aliharibu risasi thelathini na nne bila kulenga shabaha.
Mimi Kamanda mtiifu wa Chadema nataka ukweli ujulikane ili haki kwa Lissu ipatikane.
Excellent question. Lakini na Lissu mwenyewe au CDM ni wakati sasa kuwataja wahusika kwa majina maana wanawajuaUlipotamka kuwa askari wa Tanzania hawezi kukosa shabaha na kupoteza risasi thelathini na nne ulimaanisha jambo.
Jambo lenyewe ni kuwa unamfahamu aliyempiga Lissu risasi.
Leo hii wewe ni mkuu wa kaya. Tunahitaji utuambia nani huyo ambae hana shabaha na aliharibu risasi thelathini na nne bila kulenga shabaha.
Mimi Kamanda mtiifu wa Chadema nataka ukweli ujulikane ili haki kwa Lissu ipatikane.
Hatutaki upumbavu