Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 30 zikamuingia mwilini risasi 16. Hakufa.

Mwaka jana kwenye kampeni ilisemwa kwamba waliompiga Tundu Lissu hawawezi kuwa askari wa serikali

Jana simu zimeonyesha askari wamepiga zaidi ya risasi tatu, nyingi tu

Je wataadhibiwa wale askari

Habari hii imfikie SSH akapate kujitathmini
 
Kwa wanaojua silaha na umbali aliokuwepo huku akiwa anatembea target inakuwa ngumu sana
Ila kwa kuwa humu kila mtu mjuaji sawa endeleeni kuwatukana police
 
Kuna watu hum wajuaji Kama kwamba hawajui kitu kikiwa kwenye mwendo kukipata Ni kazi all in all hongra polis Tanzania mlijitoa kwa ajili ya watanzania
 
Kwa wanaojua silaha na umbali aliokuwepo huku akiwa anatembea target inakuwa ngumu sana
Ila kwa kuwa humu kila mtu mjuaji sawa endeleeni kuwatukana police
Umbali gani unaouongelea? Kulikua na umbali gani kutoka upande mmoja wa barabara hadi mwingine?
Hivi unajua kuwa jamaa hakujibanza sehemu moja? Alitoka ubalozi wa ufaransa hadi mataa pale stanbic na kurudi tena bila ya kujificha.
Unajua kutoka eneo la tukio hadi kituo cha Polisi cha Selandar ni umbali gani?
Kutoka eneo la tukio hadi kituo cha Polisi Oyesterbay ni umbali gani?
Kuna kipindi jamaa ali take cover pale ubalozi wa Ufaransa, polisi wakaenda na gari ya kuzuia risasi lakini wakaishia kukimbia bila hata ku make any attempt
 
Tactical team hakuna yaani lile jamaa lina kitambi hata kana unaona machoko mchuzi uki target kitambi hukikosi
 
Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 30 zikamuingia mwilini risasi 16. Hakufa.

Mwaka jana kwenye kampeni ilisemwa kwamba waliompiga Tundu Lissu hawawezi kuwa askari wa serikali

Jana simu zimeonyesha askari wamepiga zaidi ya risasi tatu, nyingi tu

Je wataadhibiwa wale askari
Tatizo lililosababisha wakose lundo la risasi ni upepo mkali toka baharini ulosababishwa na mawimbi makubwa ya bahari, pia kulikuwa na milio ya magari yaliyokuwa yakipita kasi kukwepa risasi.
 
Ila kuna vitu vinafikirisha sana, mi nimejiuliza je kulikuwa na mpango mkakati wowote wa kuwaokoa raia waliokuwa wapo stranded kwenye daladala? maana sijaona kitu chochote kilichofanyika kuwaondoa raia eneo la tukio. Kwahiyo wasingempata au asingeishiwa risasi akajitokeza wale raia wangekaa pale hadi mapigano yaishe si ndio?

Hebu tufikirie yule mhalifu angeamua kupanda ndani ya daladala halafu aamue kuwaweka hostile wale raia mule, na awatangazie polisi kuwa nina kilipuzi mkiendelea kunishambulia nachomoa betri nife na hawa raia, Polisi kuna chochote wangefanya au wangekaa kusubiri muujiza.

Nimefikiria hii situation sana baada ya kuona kumbe tukio lilichukua zaidi ya saa moja hadi kumdondosha yule mhalifu.
 
Ulipotamka kuwa askari wa Tanzania hawezi kukosa shabaha na kupoteza risasi thelathini na nne ulimaanisha jambo.

Jambo lenyewe ni kuwa unamfahamu aliyempiga Lissu risasi.

Leo hii wewe ni mkuu wa kaya. Tunahitaji utuambia nani huyo ambae hana shabaha na aliharibu risasi thelathini na nne bila kulenga shabaha.

Mimi Kamanda mtiifu wa Chadema nataka ukweli ujulikane ili haki kwa Lissu ipatikane.
 
Why usimuulize Afande Siro au Diwani?
 
Huoni kwamba mpaka kusema hivyo ni kama kuna swali alikuwa anajibu au kuna ufafanuzi alikuwa anatoa au kuna msisitizo alikuwa anaweka.

Kutoa ufafanuzi au kuweka msisitizo sio lazima uwe na uhakika na upande wa pili wa tukio.
 
Lissu naye ana maadui wengi, labda alikuwa anatembea na mke wa mtu,Dunia Ina mengi,kama amekaa Ulaya kidogo tu ameanza kupiga mabusu majimama ya kizungu
 
Ipo siku awatasema yote mbona hata swala la magu japo simkubali ila ipo siku watasema walichomfanya baba wa watu japo nae aliwafanya watu vibaya
 
Ulipotamka kuwa askari wa Tanzania hawezi kukosa shabaha na kupoteza risasi thelathini na nne ulimaanisha jambo.

Jambo lenyewe ni kuwa unamfahamu aliyempiga Lissu risasi.

Leo hii wewe ni mkuu wa kaya. Tunahitaji utuambia nani huyo ambae hana shabaha na aliharibu risasi thelathini na nne bila kulenga shabaha.

Mimi Kamanda mtiifu wa Chadema nataka ukweli ujulikane ili haki kwa Lissu ipatikane.
Excellent question. Lakini na Lissu mwenyewe au CDM ni wakati sasa kuwataja wahusika kwa majina maana wanawajua
 
Back
Top Bottom