Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

huu ujinga usijaribu hata kuongea mbele ya watoto wako sebuleni watakupiga makofi mbele ya mama yao
 
Mama Samia umechafuka !!!
 
Mwambieni akatenge kine...e chake halafu tuchukue asiye na mafunzo ammiminie risasi 10 tu tuone kama atatoka salama,shwain!
Mungu akiamua kukuponya,basi atakuponya tu kwenye mazingira yoyote!
 
Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
Mkuu nakuunga mkono maana hii kauli ya samia niliwahi kuiskia mahala kabla yake kua lait waliommiminia risasi lisu wangekua askari waliopitia mafunzo wasingemkosa hata kidogo mana askari aliopitia mafunzo akikulenga risasi tatu bila ya kukuua lazima awajibike na awe na maswali ya kujibu kwann kakukisa lakini chakushangaza yaya amepatiwa 16 na hajafa wazi kua hawa jamaa waliofanya hiyo kazi hawana mafunzo
 
Uliliangalia lile gari lilivyoshambuliwa ?! . Usawa wa kichwa zilichakaza risasi . Usawa wa mlango ndiyo palichakazwa zaidi.


Ok tuseme ni wengine na si askari. Uchunguzi uko wapi ?! , Kwa nini walizuia matibabu yake, kwanini walimpoka ubunge ?! , Kwanini hata wabunge wa Ccm walizuiliwa kumtembelea ?!. Mambo ni mengi
 
Kwahiyo hao wadeni wake ndio walio ondoa wale walinzi geti kuondoa CCTV camera kuzuia pesa za matibabu kumvua ubunge na kuzuiya wabunge wa chama cha ccm wasiende kumuangalia lisu spital

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Na kupiga marufuku watu kuvaa T-shirt za PRAY FOR LISSU na ibada za kumuombea.

Hao wadeni wake wana nguvu isiyo ya kawaida

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Huna tofauti na wapumbavu wengine, hiyo sheria ya kuulizwa akikosa risasi 3 ni ya jeshi gani Tanzania?
 
Yaani kwa jinsi mambo yalivyo na kwa nafasi yake kama Mama wa Kiislam akiwa na headscarf muda wote angepumzika siasa mbaya ili kujitenga na upande huo. Lakini yeye anafikia hatua ya kukejeli wananchi wake waliopatwa na maswaibu....nimesikitika sana!

Kwakweli (samahani hapa wanawake/akina mama); hivi huwa baadhi yenu mnawezaje kutoa mimba na au kutupa kichanga chooni???

Hata kama alipigwa na majambazi au CHADEMA wenyewe Kwanini basi kukejeli Utukufu na Uwezo wa Mungu kumponya binadamu mwenzio???

Mbona viongozi wetu mmejawa na viburi na kejeli nyingi kwa raia wenu wapole hawa mnawataka nini lakini??

So video has been watched by many and yes we have now concluded of your innermost character.

May God heal our country and the people within it who are being squeezed unnecessarily.
 
Basi ishauri serikali iruhusu uchunguzi huru kutoka agency za nchi za nje kuhusu upotevu wa Ben Saanane na Lissu kupigwa risasi.
 
CHADRMA mna siasa za chuki na kibaguzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…