TUMI EPAFRA
Member
- Jul 12, 2020
- 59
- 56
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kuna mungu ambaye Ni mkubwa kuliko mafunzo yako.Mungu akikataa jambo hata uwe komando halitafanikiwa.Lakini mama kasema kweli risasi 16 kwa ashari mwenye mafunzo ni ngumu aisee...
La jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Uliziona au ndivyo ambiwa na Lissu. Waliojenga yale majengo wamekana majengo yote hawajawahia kuweka CCTV. Kalemani, mnaedai kulikuwa na CCTV ni mtu binafsi hana ushahidi huo na pengine ilikuwa ni kanyaboya. Hata zingekuwepo, hiyo ni nyongeza tu muhimu ni maelezo ya yule aliyekuwa akiona akifuatiliwa kwa muda.Waanze na walitoa kamara za CCTV pale area d Dodoma wakat polisi walisha SEMA zipo
Kwa hadhi na heshima aliyo kuwa nayo huyu mama sikutegemea kama angetamka maneno haya
Hao watu watakuwa ndio wenye nchi.Hao wadeni wake baadae wakaenda kun'goa CCTV
Lakini kabla ya shambulizi hao jamaa ambao walichukuliwa wake zao walihakikisha walinzi wote hapo Area D wanaondolewa amaa kweli hao watu wananguvu serikalini
Tunachojua waliomshambulia waliondoa walinzi na baadae cctv camera!Jamani hivi bado Chadema hamuelewi kwamba Lissu alipigwa Risasi kwasababu ya nafasi ya Mwenyekiti 😀😀😀😀😀😀😐
Walinzi wa suma jkt ambao huwa getini kwenye makazi hayo ya viongozi walikuwa wapi?Nani aliwaondoa siku ya tukio?Uliziona au ndivyo ambiwa na Lissu. Waliojenga yale majengo wamekana majengo yote hawajawahia kuweka CCTV. Kalemani, mnaedai kulikuwa na CCTV ni mtu binafsi hana ushahidi huo na pengine ilikuwa ni kanyaboya. Hata zingekuwepo, hiyo ni nyongeza tu muhimu ni maelezo ya yule aliyekuwa akiona akifuatiliwa kwa muda.
Kuna kitekenyo pengine kina mfanya ashindwe kufikiria vizuri mambo ya kuongeaHuyu mama hapo kakosea.