Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Kwa hadhi na heshima aliyo kuwa nayo huyu mama sikutegemea kama angetamka maneno haya
 
Itakua alimaanisha waliotaka kumuuwa siyo askar wa CCm lakn sijui kama chama kinakuaga na askar au kamaanisha Hawa askari wanaolipwa kwa kod zetu
 
Waanze na walitoa kamara za CCTV pale area d Dodoma wakat polisi walisha SEMA zipo
Uliziona au ndivyo ambiwa na Lissu. Waliojenga yale majengo wamekana majengo yote hawajawahia kuweka CCTV. Kalemani, mnaedai kulikuwa na CCTV ni mtu binafsi hana ushahidi huo na pengine ilikuwa ni kanyaboya. Hata zingekuwepo, hiyo ni nyongeza tu muhimu ni maelezo ya yule aliyekuwa akiona akifuatiliwa kwa muda.
 
Hao wadeni wake baadae wakaenda kun'goa CCTV

Lakini kabla ya shambulizi hao jamaa ambao walichukuliwa wake zao walihakikisha walinzi wote hapo Area D wanaondolewa amaa kweli hao watu wananguvu serikalini
Hao watu watakuwa ndio wenye nchi.
 
Jamani hivi bado Chadema hamuelewi kwamba Lissu alipigwa Risasi kwasababu ya nafasi ya Mwenyekiti 😀😀😀😀😀😀😐
Tunachojua waliomshambulia waliondoa walinzi na baadae cctv camera!
Waliomshambulia wameweza kuzuia uchunguzi hata pale CDM walipotaka waje wachunguzi huru!
Kwa hayo machache,muhusika anajulikana!
 
Uliziona au ndivyo ambiwa na Lissu. Waliojenga yale majengo wamekana majengo yote hawajawahia kuweka CCTV. Kalemani, mnaedai kulikuwa na CCTV ni mtu binafsi hana ushahidi huo na pengine ilikuwa ni kanyaboya. Hata zingekuwepo, hiyo ni nyongeza tu muhimu ni maelezo ya yule aliyekuwa akiona akifuatiliwa kwa muda.
Walinzi wa suma jkt ambao huwa getini kwenye makazi hayo ya viongozi walikuwa wapi?Nani aliwaondoa siku ya tukio?
 
Duuuuh huyu ostadhath nae ameanza ushetani, kweli CCM hakuna msafi. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom