Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Huyu tangu asifiwe uzuri na yeye anajiona Bi mdogo wa Magufuli.
Si anajiona ni bi mdogo kweli, kaanza kuliwa tangu akiwa bunge la katiba, ndo ikafikia kuwa mgombea mwenza alaaaah.
 
=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.

Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.

''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".
CC: Robert Amsterdam

Tahadhari ... Mama usije sema wame kuedit tu ...
 
Uislam unakataza usagaji hizo shungi za bure Tu alizovaa
Afu kuna sehemu niliwahi sikia kuwa huyu mama ni lesbooh, ila hilo ni lake binafsi na kwa uhuru wake. Ila hili la ugaidi mmmmh kakosea sana
 
Kwa hisan ya kigogo
IMG_20200905_150143_277.jpg
 
=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.

Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.

''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".

daahhhh ina mana wanatufanyia mazingaombwe mchana.
 
Huko twiter kigogo kashaanza kumwaga mboga siri za huyu mama kumbe nae ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
CHADEMA mpo wapi, itaneni mama kachomoa betri hukuu naona nyumbu zimepoteana
 
Back
Top Bottom